Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,518
Wananchi na umma kwaujumla tuliowekeza matumaini yetu kwa UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI tusimame imara kuzuia hatari iliyombele yetu,
Wiki moja sasa tangu kuibuka kwa nguvu ya wajumbe wakatiba mpya wanaounda umoja uitwao UKAWA,ccm kupitia idara za kijasusi za nchi wamekuwa kwenye mipango mkakati ya kukabiliana na umoja huo hasa baada ya kudorola kile kilichoitwa na JK kundi la Tanzania kwanza yani kundivla wanaotaka Serikali mbili.
Juzi wameridhia kuanzisha kikundi kinachojiita DARAJA, na kinaundwa na wajumbe wengi vijana wenye mawazo na itikadi za ccm,
Dhamira kuu ikiwa ni kuvunja nguvu za UKAWA, yaani kuvunja nguvu za Waamini wa SERIKALI TATU.
Kikundi hicho kitaundwa na baadhi ya wajumbe wafuatao:
1. Hamis Kigwangalla (Kiongozi)
2. Ester Bulaya
3. Zitto Kabwe
4. David Kafulila
Na wengine wengi.....
Nimejaribu kuzungumza na wanaounda kikundi hiki kama wanamalengo na mitazamo tofauti na UKAWA, wakasema hapana, yani wanaafiki mitazamo na malengo ya UKAWA, nikawauliza tena, kwanini wasiunganishe nguvu hapo UKAWA? hawakuwa na jibu.
Leo wataendele na hatua za mwisho za uundaji wa kundi hilo kharamu.
Mary chatanda hatakosekana kwenye ujangili huu, mkuu Yericko hivi dodoma hakunaga radi au kwenye ukombozi tusiyajadili mapigo ya JAH (let JAH be praised - Peter Tosh)
ccm wana mawazo ya kipumbavu sana, wanadhani wao ndiyo wenye hatimiliki na Tanzania, wameamua kujivua akili, wameamua kujivua utu, wameamua kujivua hekima, wamevaa ukatili, ugaidi, ujambazi na sifa zote za ibilisi.
Wameamua kubaka katiba ya watanzania
Ngoja mkuu nitashusha orodha ya wanakikundi wote,
Zitto ataendelea kuwatafuna mpaka mwisho wenu, watu hawapati usingizi kwasababu yake. Mtaweweseka sana na Zitto. Mtakumbuka tu kuwa "zambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, ukisha anza hauachi". Jamani muacheni ZItto fanyeni mambo yenu si mlisema hana athari mbona sasa hamlali?
Wananchi na umma kwaujumla tuliowekeza matumaini yetu kwa UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI tusimame imara kuzuia hatari iliyombele yetu,
Wiki moja sasa tangu kuibuka kwa nguvu ya wajumbe wakatiba mpya wanaounda umoja uitwao UKAWA,ccm kupitia idara za kijasusi za nchi wamekuwa kwenye mipango mkakati ya kukabiliana na umoja huo hasa baada ya kudorola kile kilichoitwa na JK kundi la Tanzania kwanza yani kundivla wanaotaka Serikali mbili.
Juzi wameridhia kuanzisha kikundi kinachojiita DARAJA, na kinaundwa na wajumbe wengi vijana wenye mawazo na itikadi za ccm,
Dhamira kuu ikiwa ni kuvunja nguvu za UKAWA, yaani kuvunja nguvu za Waamini wa SERIKALI TATU.
Kikundi hicho kitaundwa na baadhi ya wajumbe wafuatao:
1. Hamis Kigwangalla (Kiongozi)
2. Ester Bulaya
3. Zitto Kabwe
4. David Kafulila
Na wengine wengi.....
Nimejaribu kuzungumza na wanaounda kikundi hiki kama wanamalengo na mitazamo tofauti na UKAWA, wakasema hapana, yani wanaafiki mitazamo na malengo ya UKAWA, nikawauliza tena, kwanini wasiunganishe nguvu hapo UKAWA? hawakuwa na jibu.
Leo wataendele na hatua za mwisho za uundaji wa kundi hilo kharamu.
Tanganyika HURU na Zanzibar HURU kwanza mengine yatafuata, = Serikali TATU