Hataki tuwe wapenzi, anataka urafiki

Sasa huoni ni vizuri kasema ukweli hataki mahusiano, maanake kama unatafuta mke tafuta mwanamke mwengine, usije ukawekeza hapo halafu akakuacha akaenda kwa mwengine
 
Una mkula kirafiki rafiki na ikibidi una muoa ndani ya urafiki huo huo anajikuta ndani kimasihara na watoto kadhaa... Kumbuka kama unataka ndoa yenye furaha, usioe mpenzi oa rafiki yako ndio ndoa itadumu ...utakuja ni shukuru mkuu..
 
Kumbe wezangu humu jf mnawatomber hawa warembo🤣🤣🤣🤣
Nipeni siri basi maana mie naambulia vibuti tuu huko pm
 
Roger that soldier
 
Kwanza tambua kukimbilia kumvua mwanamke kabla hajakupokea moyoni nguo ni kumbakana tu.
Haijarishi mazingira
Vijana nyie nyie mnalalamika wanawake kupenda fedha sana yote hayo mnayataka wenyewe sasa kama unataka tunda kulila si utafute makahaba tu!! Ambao hawatakuuliza maswali ya sensa ni plug and play unalipa unasepa
Mwanamke au mwanaume mwenye akili timamu kumpata inachukua mchakato kiukweli sio kitu cha over day au over night.
 
Hilo nalo la kuuliza kweli? Ushauri wangu wa kikatili kidogo
 
Unafikiri Kura kimasihala ni rahisi hivoo...[emoji1783][emoji1783][emoji1783]unaweza kununua banana splinter mlimani city?? Kununua kuku WA KFC pia unaweza au unatunisha jando Tu kama kiwembe cha uzazi
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah we jamaa ni Mzaramo
 
Wastage of time bhana
 
Safi, hiyo aya ya kwanza ndiyo ukweli wenyewe
 
Terrorist.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…