Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Yaan mtoa UZI maelezo marefuuuuu unalilia kuchuma dhambi 😄😆😆😆
Toa Mahari ule tunda Eboooooooo nyambavu umepatikana
 
Duh !! Hii dunia hii sasa tukimbilie wap kwa vicheche wanaojulikana au
Wapo wanawake Wazuri ambao wanaweza kuwa Mke, ni kuangalia anayekupenda, loyal na ana goal la kuwa na familia bora, usijali sura,umbo na huruma sana, kwani hapo ndio mtego ulipo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom