johnhance
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 1,769
- 2,134
aisee, neno la kwanza kuja kichwani Controller Area Network
aisee, neno la kwanza kuja kichwani Controller Area Network
Jamani. Hyo jamaa kibokoHata nikimwambia anasema anajua yeye mda wa kulipalilia
Anachangamsha genge.Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....
Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....
Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!
Pole sana best. Kama kuna watu hawapendi vichaka, basi mie mmojawapo. Mzuka wote unakata nikiona kichaka. Bora mazingira yawe safi muda woteSana tu mkuu
Huyo Mimi kabisa lazima kuwe u tofaut kati ya sura na kWakuu ni kawaida kusafishwa maeneo na mwenzi wako?? maana huyu mkuu simuelewi hataki kabisa ninyoe anasema zikizidi yeye ndoataona azinyoe na biti juu nikinyoa ntamweleza nilikipeleka kwa nani kipochi manyoa staki kumkwaza ila kukaa na v*** sijazoea....
Cyo mme n mpenz et...?Hakuna namna though sio mume yet
Kama mm piaKumbe mko wengi ehh wa type hizi,zimefika
Ndio