Hataki ninyoe

Hataki ninyoe

Pole sana

Natamani sana nikupe usbauri sahihi kwa hii kadhia yako ila sasa ntakua mnafiki mno kishauri kuhusu kitu ambacho sjahakikisha.

Hebu picha tafadhali nione nakusaidia vipi
 
Sawa mkuu
 
Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....

Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....

Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!
Sasa jamani tayari kampata, na kasema penzi jipya!
 
Mmh majuzi hana bwana ' juzi kampata bwana " mpaka jana tayari keshaliwa !!!!.... halafu mbona tayari alishajitetea kuwa Story zake huwa hazina ukweli ...so hata hii pia ni chai
 
Karibu jamvini mkuu upate kikombe cha chai
 
Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....

Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....

Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!
Naic hayo mambo yake alokuwa anasubria yakae sawa ndo aingie kwnye mahusiano huenda yashatimia mkuu so, story yake ipo sawa....!!
 
Back
Top Bottom