Hataki ninyoe

Hataki ninyoe

Ndiyo
Tunahimizwa Usafi Sasa Hiyo [emoji23]🤣[emoji2][emoji2]

Me mwenyewe napata shida ila ndo napambana na mahaba mapya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi weye hakikisha liko safi kwa kulipiga soap soap asubuhi na jioni na kulirembesha vile upendavyo bila kulinyoa.

Ni ngumu kama umezoea team vipara ila ntajaribu kwaajili yake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndio utazoea kwa kuwa upo na mtu ambaye hataki unyoe hiyo haina jibsi kubaliana na hali
Wakuu ni kawaida kusafishwa maeneo na mwenzi wako?? maana huyu mkuu simuelewi hataki kabisa ninyoe anasema zikizidi yeye ndoataona azinyoe na biti juu nikinyoa ntamweleza nilikipeleka kwa nani kipochi manyoa staki kumkwaza ila kukaa na v*** sijazoea....
 
Jf bwana -- baadhi ya watu ni waongo mpaka wana jisahau ....

Mtoa mada juzi tu ' ulianzisha topic na kwenye statement ulidai kwamba haupo kwenye mahusiano na hauhitaji kuwa kwenye mahusiano kwa sasa umeamua kupumzika mpaka baadhi ya mambo yako utakapo kuwa umeyaweka sawa ....

Leo unaleta thread --kumbe una bwana ambaye mmezoeana mpaka mavu.... mnanyoana !!!!!!
 
Hiyo sio shida bado hujajibu itakiwavyo kama a livyo kuulizia wivu na vuzi vinauhusiano gani
Ni moja ya mbinu ya ulinzi wa mipaka yake[emoji23][emoji23]yaani wewe uone aibu ya kupeleka papuchi nje wakati kumejaa manywele[emoji3][emoji3]
 
Fikra potofu ila ngoja niende atakavyo nikishindwa basi
Bibie kila mwanaume anastaili yake ya mapenzi hiyo yeye anaskia raha akiona hizo nywele nana alikudanganya kuwa vuzi ni uchafu wangapi wanayo na mpango wa kunyoa hawana
 
Back
Top Bottom