MKUDE SIMBA
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 305
- 168
Last edited by a moderator:
Mtafutie chumba au nyumba fasta ahame hapo.
Mdau endelea kumbeba,huyo ni Mgeni wenuWana jf habari za blue monday
Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi
Ana wiki moja tangu ameripoti kazini kwake, hiyo wiki yote ni mm ndo nimekua nikiondoka nae asubuhi kwenda kazini maana ofisi zetu wote zipo mjini,
Tangu ijumaa wife amenishangaza kunizuia kumbeba huyu mgeni wetu kwenda kazini anataka nimpitishe kwenye dala dala
Sasa mm niliemtuma akubali kumpokea?
Hivi ntaanzaje kumkatalia lifti wakati nimembeba wiki nzima?
Nimepewa ultimatum kwamba tukirudi wote jioni ntaona
Sasa hii wakuu si kutafuta ugomvi bure?
Siku zote anadai hawezi kuleta marafiki zake wazuri nyumbani labda wa kuja na kuondoka sasa imekuaje huyu kampokea?
Na kwa kweli huyu mtoto kaumbika haswa!! Yaani ni mzuuuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote, yaani kwenye gari hata akishuka harufu ya manukato inabaki kutwa nzima
Juzi tumerudi home wife ananivaa chumbani kwamba tumetoka wapi anauliza mbona nakua marashi ya yule dada kumbe wapi hatujafanya chochote, tunaheshimiana mno, anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti
Yaani anaemmiliki huyu binti anafaidi kweli
Wakuu nimuhakikishieje wife kwamba hakuna madhara yoyote yanayoweza kutokea anielewe?
Tunabishana usiku chumbani hadi nahisi yule dada anaweza kutusikia
Wakuu kuna mwenye suluhisho hapa nifanyeje?
Ananihisi vibaya kumbe mm sina wazo hilo, nilikua na mchepuko mke wa rafiki yangu alieachishwa kazi ila nimetubu na kuachana nao kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji
Hayo ya kuonana mjini labda kama wana ajenda zingine za siri lakini kwa sasa ili kuondoa minuno ya Mama yeyoo hilo ni bora.Ukumbuke wanafanya kaz ofis za karibu huko mjini,so kuonana kupo ti mdau
Mkuu umepigwa pin ile iiii hatari
Mama maneno hayo.anakujua wewe kitomb...... thats why
Mama maneno hayo.
Yanashtusha.Ha ha haaa yamekugusa eh