transporter15
Member
- Jun 1, 2015
- 68
- 20
Mwambie na wewe kama hataki umbebe amuambie aondoke akatafute pakuishi
Haya bwana navin dippe.....
Naona ni mwendo wa kutunywesha chai tu
Anyway,
Acha nipite hivi ============= > > >
Haya bwana navin dippe.....
Naona ni mwendo wa kutunywesha chai tu
Anyway,
Acha nipite hivi ============= > > >
(anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti)
Mimi mpangaji wangu amehama juzi kuna upande mzima wa nyumba kwa nia dhati kabisa usiaribu ndoa yako mimi nimeamua kujitolea nimpangishe tena miezi miwili free of charge,
Nimemiss sana kuamkiwa usiku na mchana..
Mleta mada kashikwa na kigugumizi!
Haya bwana navin dippe.....
Naona ni mwendo wa kutunywesha chai tu
Anyway,
Acha nipite hivi ============= > > >
Haya bwana navin dippe.....
Naona ni mwendo wa kutunywesha chai tu
Anyway,
Acha nipite hivi ============= > > >