Tehe wanawake hawajiamini kabisa. Mie kuna shemeji yangu hata kuongea nae sentesi mbili siwezi. Nikizidisha tu wife atanuna siku nzima. Akiwepo usiku funguo za room zinafichwa. Nikishtuka tu na yeye anashtuka yaani we acha tu
Kuna chai nyingine ongezea, kamkuta shemeji yake akikisaidia nje tako wazi kapagawaHaya bwana navin dippe.....
Naona ni mwendo wa kutunywesha chai tu
Anyway,
Acha nipite hivi ============= > > >
Wana Jf habari za blue monday,
Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa Dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi. Ana wiki moja tangu ameripoti kazini kwake, hiyo wiki yote ni mimi ndo nimekua nikiondoka nae asubuhi kwenda kazini maana ofisi zetu wote zipo mjini, tangu Ijumaa wife amenishangaza kunizuia kumbeba huyu mgeni wetu kwenda kazini anataka nimpitishe kwenye dala dala. Sasa mimi niliemtuma akubali kumpokea?
Hivi nitaanzaje kumkatalia lifti wakati nimembeba wiki nzima? Nimepewa ultimatum kwamba tukirudi wote jioni nitaona,
sasa hii wakuu si kutafuta ugomvi bure? Siku zote anadai hawezi kuleta marafiki zake wazuri nyumbani labda wa kuja na kuondoka sasa imekuaje huyu kampokea? Na kwa kweli huyu mtoto kaumbika haswa!
Yaani ni mzuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote, yaani kwenye gari hata akishuka harufu ya manukato inabaki kutwa nzima Juzi tumerudi home wife ananivaa chumbani kwamba tumetoka wapi anauliza mbona nakua marashi ya yule dada kumbe wapi hatujafanya chochote, tunaheshimiana mno, anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti.
Yaani anaemmiliki huyu binti anafaidi kweli. Wakuu nimuhakikishieje wife kwamba hakuna madhara yoyote yanayoweza kutokea anielewe? Tunabishana usiku chumbani hadi nahisi yule dada anaweza kutusikia. Wakuu kuna mwenye suluhisho hapa nifanyeje? Ananihisi vibaya kumbe mimi sina wazo hilo, nilikua na mchepuko mke wa rafiki yangu alieachishwa kazi ila nimetubu na kuachana nao kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji.
Ninaishauri familia hii kwamba kaeni pamoja nyumbani mlizungumzie suala hili sebuleni msijemkamteta binti wa watu amabye ninyi mmeshiriki kwa pamoja kumkubalia aje akae kweu kwa mda wa mwezi mmoja, mkianza kumunyima usafiri wa kwenda kazini ghafla mtakosea sana bora msingemkaribisha mapema kubalini akae kwa mda huo tu baada ya hapo atakuwa amepata chumba chake atahama kwa amani ili kesho asijekuwalaumu au kumchukia rafiki yake huyo yaani mkeo..Wana Jf habari za blue monday,
Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa Dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi. Ana wiki moja tangu ameripoti kazini kwake, hiyo wiki yote ni mimi ndo nimekua nikiondoka nae asubuhi kwenda kazini maana ofisi zetu wote zipo mjini, tangu Ijumaa wife amenishangaza kunizuia kumbeba huyu mgeni wetu kwenda kazini anataka nimpitishe kwenye dala dala. Sasa mimi niliemtuma akubali kumpokea?
Hivi nitaanzaje kumkatalia lifti wakati nimembeba wiki nzima? Nimepewa ultimatum kwamba tukirudi wote jioni nitaona,
sasa hii wakuu si kutafuta ugomvi bure? Siku zote anadai hawezi kuleta marafiki zake wazuri nyumbani labda wa kuja na kuondoka sasa imekuaje huyu kampokea? Na kwa kweli huyu mtoto kaumbika haswa!
Yaani ni mzuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote, yaani kwenye gari hata akishuka harufu ya manukato inabaki kutwa nzima Juzi tumerudi home wife ananivaa chumbani kwamba tumetoka wapi anauliza mbona nakua marashi ya yule dada kumbe wapi hatujafanya chochote, tunaheshimiana mno, anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti.
Yaani anaemmiliki huyu binti anafaidi kweli. Wakuu nimuhakikishieje wife kwamba hakuna madhara yoyote yanayoweza kutokea anielewe? Tunabishana usiku chumbani hadi nahisi yule dada anaweza kutusikia. Wakuu kuna mwenye suluhisho hapa nifanyeje? Ananihisi vibaya kumbe mimi sina wazo hilo, nilikua na mchepuko mke wa rafiki yangu alieachishwa kazi ila nimetubu na kuachana nao kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji.
Wana Jf habari za blue monday,
Kuna rafiki wa wife amehamishiwa hapa Dar kikazi, amefikia kwetu wakati akitafuta pa kuishi wamekubaliana na wife akae hapa kwetu mwezi. Ana wiki moja tangu ameripoti kazini kwake, hiyo wiki yote ni mimi ndo nimekua nikiondoka nae asubuhi kwenda kazini maana ofisi zetu wote zipo mjini, tangu Ijumaa wife amenishangaza kunizuia kumbeba huyu mgeni wetu kwenda kazini anataka nimpitishe kwenye dala dala. Sasa mimi niliemtuma akubali kumpokea?
Hivi nitaanzaje kumkatalia lifti wakati nimembeba wiki nzima? Nimepewa ultimatum kwamba tukirudi wote jioni nitaona,
sasa hii wakuu si kutafuta ugomvi bure? Siku zote anadai hawezi kuleta marafiki zake wazuri nyumbani labda wa kuja na kuondoka sasa imekuaje huyu kampokea? Na kwa kweli huyu mtoto kaumbika haswa!
Yaani ni mzuri ajabu, nyonyo kama embe bolibo ananukia marashi wakati wote, yaani kwenye gari hata akishuka harufu ya manukato inabaki kutwa nzima Juzi tumerudi home wife ananivaa chumbani kwamba tumetoka wapi anauliza mbona nakua marashi ya yule dada kumbe wapi hatujafanya chochote, tunaheshimiana mno, anajiheshimu sana huyu binti, ananiamkia asubuhi jioni, tena kwa magoti.
Yaani anaemmiliki huyu binti anafaidi kweli. Wakuu nimuhakikishieje wife kwamba hakuna madhara yoyote yanayoweza kutokea anielewe? Tunabishana usiku chumbani hadi nahisi yule dada anaweza kutusikia. Wakuu kuna mwenye suluhisho hapa nifanyeje? Ananihisi vibaya kumbe mimi sina wazo hilo, nilikua na mchepuko mke wa rafiki yangu alieachishwa kazi ila nimetubu na kuachana nao kutokana na kushindwa gharama za uendeshaji.
Wadau habari
Juzi nilitoka job mapema sikua najisikia vizuri, nilipofika home nikalala muda mrefu sana, nilipoamka jioni sana nikaenda nyuma ya nyumba kujinyoosha nashangaa kumkuta shemeji mdogo wa wife kachuchumaa chini anakojoa wakati ndani choo kipo
Hata hivyo kilichonivutia zaidi ni wowowo la haja la huyu binti, maama alikua amelikusanya gauni lote na kulishikia juu kiunoni hivyo kuacha makalio yote nje, nilichanganyikiwa kwa kweli, mapigo ya moyo yalienda kasi, nilijawa na mate mdomoni, nilipata mfadhaiko mkubwa, nikabaki nimeikodolea macho sehemu hiyo ya nyuma, ambapo aligeuka na kunikuta nimeshindwa kuondoka
Hadi sasa nimeshindwa kumtoa binti huyu moyoni, Ingawa anajaribu kunikwepa kwa kadri iwezekanavyo
Au nijilipue tu?
Wana Jf habari za ujenzi wa taifa,
Kuna mwanamke mmoja ni Jirani yetu, nyumba zetu zinapakana, i mean zinatenganishwa na ukuta, hajaolewa ila ana mtoto mmoja wa darasa la 2, ni single mother, ni mfanyabiashara.
Kwa kweli tumekua tukiheshimiana sana tangu alipoanza kupanga hapo, na pia anaheshimiana sana na mke wangu ingawa sio marafiki ila ni katka ile hali ya ujirani mwema na zaidi ya yote tunasali wote jumuiya moja katika takribani miezi minne iliyopita alinipigia simu siku moja akasema Jirani nina shida na wewe naomba tuonane bar flan jioni, nikasema poa
Tulipoonana akaniambia mwanawe anadaiwa ada 1.5 million na haruhusiwi kuingia class hadi ilipwe hivyo anaomba nimkopeshe 2 million atanilipa ndani ya wiki mbili kama sio tatu, ni uhakika.
Nilikua nina akiba yangu kama milion 2.7 hivi nikamsaidia na akanishukuru sana ila akaniomba nisimwambie mke wangu, akadai wanawake huwa sio waelewa anaweza kuchukulia tofauti, nikapromise sitafanya hivyo.
Cha ajabu, tangu siku hiyo uchangamfu na mazoea vikaongezeka, kila mchana atapiga simu kuniuliza naendeleaje na kazi, au anauliza kama nimekula na nimekula nini, kidogo kidogo hali ya mazoea ikaongezeka ambapo sasa nikawa naulizwa kwamba natoka kazini saa ngapi tuonane.
Hivyo hivyo nashangaa naanza kuitwa honey, sweetheart, baby na kadhalika, nikawa carried away na hiyo pampering yake, by the time nakuja kuzinduka tumeshatembea kama mara 15 hivi na zile wiki mbili alizoahidi atarudisha deni zikawa zimepita kama mwezi mzima hivi.
Ndipo nikaanza kuulizia vipi pesa yangu nina shida nayo, mimi pia mtoto amerudishwa nipe nipeleke shuleni, akanililia hali nimvumilie kwa wiki moja mbele, nikakubali, akaanza kunikwepa sasa, nikimpigia simpati au inaita weee bila majibu, nikituma sms whatsaap inakua delivered ila haijibiwi, kwa ufupi akawa ananikimbia, kwake muda wrote utaambiwa hayupo, hata akiwepo naogopa kwenda, nisije nikaenda ukaanza ugomvi then wife atashtuka.
Sasa ni miezi mitatu, juzi nikamuona barabarani mitaa kama minne hivi kutoka mtaani kwetu nikamvaa naomba hela yangu, cha kusikitisha alinijia juu na kunirushia maneno kuwa "uliponilala zaidi ya mara kumi na tano nilikudai au kuomba hela?
Ulivyokua unakata mauno hukusikia raha?"". Sasa mimi nikamuuliza kwa hiyo thamani ya hayo yote ndio 2 million? Akanijibu ukiendelea kunisumbua namwambia mkeo nikachoka.
Sasa wadau nifanyeje nipate hela zangu?
Halafu wanawake huo ni ustarabu gani lakini?
Naweza kuripoti polisi jambo hili bila kuleta madhara upande wangu?
Yaani wife asijue wala nini?
Toa uhuni wako hapa kwanza umeshamtamaniWana Jf habari za blue monday,