Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Labda anaogopa mimba na kuachawa sigle Mather,mwambie utatumia ndomu.
Kuhusu hayo yote alishawahi kuniambia, na kuhusu kumla kavu alikataa nikamwambia tutatumia kondom lakini alijibu kuwa kondom zina madhara kwa yeye hawezi kutumia,, nikamtoa hofu kwamba kama labda anawasiwasi kuhusu afya yangu twende tukapime HIV.

Lakini nalo alilitolea nje nakusema kuwa yeye hapendi kuchomwa sindano kwahiyo maana yake hawezi kwenda kupima.

Majibu hayo huwa nayafikiria nahisi huyu hanipendi.
 
Lazima atakuwa mtu wa kusini huyo!
 
Daah sjui unakwama wapi broo au approach yako ni mbovu ?


Kuna mwamba anakula pembeni hapo demu sio bikira na akubanie kashakufanya taira
 
So ukishamlala mtoto wa Watu ndo utaacha kuchafua Pensi na ndoto zako nyevunyevu hizo?
Acha Upuuzi wa kupenda Ngono.. uta hatarisha Maisha yake ama yako..
Jaman Hawa Vijana wakike tuwaache Kama walivyo! Sio lazima kufanya Ngono, narudia Tena sio lazima mfunuane..
 
Daah sjui unakwama wapi broo au approach yako ni mbovu ?


Kuna mwamba anakula pembeni hapo demu sio bikira na akubanie kashakufanya taira
Na mimi sijui anamaana gani, maana akili zao huwa wanazijua wenyewe.
 
🙄
 
Kilichopo inabidi umtangazie Ndoa huenda akakuelewa labda anaona unampotezea muda wake.
 

Unaita tendo la ndoa na hujamuoa. You are not serious.
 
Mkuu nimesoma tu Title yako,kifupi ni kwamba hebu jitaidi basi umuoe ndo utafute huo sijui ndo mzigo kwanza unakosa adabu utaitaje viungo vya uzazi mzigo?

Uasherati ndo mlishaonaga dili sana, nakushauri achana nae kama huna Mpango wa Kumuoa na ukipata mwingine basi muoe ili upate huo mzigo.

pujo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…