Hata wanaume hubeba mimba

[emoji15]
 
mkuu shida ni kwamba kama alivyo learner wa gari anavyobabaika na mimi nitakua learner wa kubeba mimba, ataweza ? mara inataka sambusa, mara serengeti miksa konyagi kwa mbaaali, ghafla mimba inataka nichepuke [emoji16][emoji16][emoji16]...@
Iloooooo....
 
nijuavyo mimi kuwa ukimpa mtoto au mke wa mganga mimba halaf ukaikataa... hapo utaibeba iwe tumboni au kwenye pu.mbu ila mimba utaibeba aisee...!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye pu....mbu ndio pazuri
 
sometimes mnapotuita wanaume wa dar mnakosea maana utakuta mtu kambebea mimba mkewe then anashindia chips yai au muhindi,ndimu, chumvi na pilipili.
 
Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye

Mtoto Wangu WA kwanza mateso yote ya mimba yalihama kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…