Hata wanaume hubeba mimba


Mkuu unatudhalilisha madume wenzako suala la baadhi ya wanaume kutokuwa na marinda nalikubali ila la mwanaume kubeba ujawepesi napinga
 
Mkuu unatudhalilisha madume wenzako suala la baadhi ya wanaume kutokuwa na marinda nalikubali ila la mwanaume kubeba ujawepesi napinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uhalisia ndugu yangu haupingiki
 
mshana jr;
Kweli mengine uletayo humu ni makubwa. Namfaham jamaa hata kula hawezi mkewe akiwa mja mzito. Anapenda sana chai lakini mkewe akiwa tiyari hataki hata kulisikia hilo jina likitajwa
 
mshana jr;
Kweli mengine uletayo humu ni makubwa. Namfaham jamaa hata kula hawezi mkewe akiwa mja mzito. Anapenda sana chai lakini mkewe akiwa tiyari hataki hata kulisikia hilo jina likitajwa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Hahahahahha kwani unafikiri mkeo mjinga hadi akuachie uinuke kabla yake?kama ni mimi ukitaka kuamka nakuvuta unaangukia kitandani mi nanyanyuka fasta
Aaaaah.... dawa hakuna kulala wote kama nikioa na nikijua tumefanya process ya kutafuta mtoto
 
Oo
Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye
Oooohw too bad
Pole sana
 
Itabidi nki gegedwa siku za hatari niamke wa kwanza ili na yeye aone raha ya kula vitu vichachu na kula udongo
 
nijuavyo mimi kuwa ukimpa mtoto au mke wa mganga mimba halaf ukaikataa... hapo utaibeba iwe tumboni au kwenye pu.mbu ila mimba utaibeba aisee...!!!!
Hahahahahahah my ribs hahahahahah jamaniiiiii you made my day
 
Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye
[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…