Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Mi imewahi hivyo na mimba ilikuwa ya mpangaji wetu lakini mbona sikuwa nahusika kwa loloteKuna jirani Mume wake alikuwa anapenda vitu vichachu, Mara embe mbichi,ndimu, yaani dalili zote za mjamzito .sasa kibaya zaidi mkeo hakuwa mjamzito na alikuwa ana mtoto Mdogo, Watu wakamwambia wewe jiongeze mmeo kampa mimba mwanamke mwingine, kweli alipochunguza akakuta ni kweli.waliachana
sikujua kuwa hata kwenye uwongo upo vizuri...!!!!!Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
Sio uongo!!!sikujua kuwa hata kwenye uwongo upo vizuri...!!!!!
yaan wewe mwanamke acha tu nikutafutie mume akuoe maana daah!!!Sio uongo!!!
We umeniamulia leo!!!yaan wewe mwanamke acha tu nikutafutie mume akuoe maana daah!!!
kuwapa wenzio makavu wewe...
uwongo ulionda kidato wewe...
kuwapa wenzio hakshishi wewe...
nimenyoosha mikono kwa kweli..!!!!
basi nanyamaza maana ukilianzisha hapa nitakimbia na uzi wenyewe!!!We umeniamulia leo!!!
[emoji23] [emoji23] na ukipata zile morning sickness utafanyaje mkuu??maana umeshanibumbulusha ngoja nimtwange mimba halafu nimwambie hiyo mimba nimembebea itabidi anihudumie mimi ni full kujiachia supu kuku haipigi chenga, serengeti mbili asubuhi, mchana mbili usiku tatu mara miezi tisa. sijatengeneza shavu tu mpaka hapo ?
Hahahahaha!!kwa nini umeona uweke mfano wa Daby na siyo...Sipati picha mtu kama Daby akibeba mimba atakuwaje......
Pole sana mkuu blance86Mkuu hii kitu iliwahi nitokea mateso yote ya wife yalihamia kwangu sintousahau ule mwaka niliteseka sana [emoji24][emoji24][emoji24].. Na bahati mbaya mtoto akafia tumboni mwa mamaye
unazimua za jana, si unaendelea kudeka mkuu, au umesahau uko ktk kipindi cha mdeko[emoji16][emoji16]!![emoji23] [emoji23] na ukipata zile morning sickness utafanyaje mkuu??
Kama kuna ukweli fulani hivi Paprika.Kuna mkaka Alinisimulia kua wakati baby mama wake mjamzito nae alikua ana experience dalili zote za ujauzito... Hadi siku mdada aanajifungua mkaka alipata homa ya haja mpaka pale mtoto alipotoka. Kwa maelezo yake anasema inatokea kama siku mimba ikitungwa na mdada akaamka kabla ya mwanaume basi anakuachia dalili za mimba... Unakua na kichefuchefu, kupenda vitu vichachu na udongo n.k
Sijui kama ni ukweli
Kujua kama ndo imeingia ni ishu mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hapo dawa ni kuwahi kuamka
Hahahahahaha!!Kuna jirani Mume wake alikuwa anapenda vitu vichachu, Mara embe mbichi,ndimu, yaani dalili zote za mjamzito .sasa kibaya zaidi mkeo hakuwa mjamzito na alikuwa ana mtoto Mdogo, Watu wakamwambia wewe jiongeze mmeo kampa mimba mwanamke mwingine, kweli alipochunguza akakuta ni kweli.waliachana
Hahahahahahamkuu shida ni kwamba kama alivyo learner wa gari anavyobabaika na mimi nitakua learner wa kubeba mimba, ataweza ? mara inataka sambusa, mara serengeti miksa konyagi kwa mbaaali, ghafla mimba inataka nichepuke [emoji16][emoji16][emoji16]...@
Eheee!!Hivi mbona naskia siku ya kutunga mimba wakati mwingine mwanaume anajua kwamba hapa nimeacha kizigo baada ya kumaliza mechi
Hahahahanijuavyo mimi kuwa ukimpa mtoto au mke wa mganga mimba halaf ukaikataa... hapo utaibeba iwe tumboni au kwenye pu.mbu ila mimba utaibeba aisee...!!!!