Hata umpe nini mwanamme haridhiki??

Kweli mwanaume haridhiki hata umpe nini hawezi kutosheka,,,,,,,,,
But ukimpatia na kumjulia hakupi shida............. atazunguka kote mwisho wa siku lazima arudi!""!"

Hivi mchezaji wa mpira wa miguu mzuri ni yule anayeshambulia na kukaba eti eehh!!
 

hata kama huridhiki lazima ukubali kuridhika na ulichonacho kwamba this is what I have

may be na mimi ndio hicho huwa nafanya.......saa nyingine huwa

nawaza sana haya mapenzi hapa kila m=mwanaume anaepita kwenye desk

langu hapa job namuangalia nawaza moyon huyu nae haridhikag ana totoz nje
 
Hii kauli si ngeni, wanawake wengi nimewasikia wakilalama
kwa msemo huu...
Naomba wenyewe wajibu....
Hivi kwani wanawapa nini wanaume?? Tujadili

Mwanaume atatosheka tu na huduma ya mwanamke pindi tu siku atapoweza kula bila jasho...
 
Hakuna binadamu mkamilifu, akiwa mzuri kwenye hiki atakuwa mbaya kwenye kile. Cha muhimu ni kuvumiliana baaaaaaaaaaas " Ila vinavyovumilika tu"!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…