Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,275
- Thread starter
- #41
MPE tu kwani tatizo liko wapi?
unatoa kwa mtu usiye mjua?
MPE tu kwani tatizo liko wapi?
unatoa kwa mtu usiye mjua?
Habari zenu wana Jf,
Inaanza hivi- kuna mdada aliniomba urafiki facebook nami nikamkubalia kumbe ananijua personally but mie simjui kabisa alinitext punde tu nilipo accept friend request yake ndo mambo yakaanza!
Mdada; Mambo
Mie; Pouwa,mzima wewe?
Mdada; Niko P wangu!
Mie; Pande zipi?
Mdada; Moro wewe je?
Mie; Nami niko Moro
Mdada; Sehemu gani my
Mie; Nikamtajia
Mdada;ooh! Kumbe,una mish gan?
Mie;(Nikamtajia) wewe upo wapi?
Mdada; Akantajia
Baada ya hapo akaendelea...
Mdada; Wifi mzima
Mie; Sina mpenzi
Mdada; Yani ukinitumia nauli tu mie nakuja
Mie; Mmmh...sh.ngap?
Mdada; 5000
Mie; Kweli utakuja?
Mdada; Kweli
Mie; Pouwa,iwe lini?
Mdada; Sitaki utakayo penda
Mie; Poa weekend hii
Mdada; Hapo hapo akataka namba yangu ya simu na nikampa tukaendelea kuchat
Juzi kaniomba vocha nikampa,leo kanambia "my napenda kuongea nawe uck kucha but naomba 7000 fund anitengenezee simu yangu" nikamjibu hata hatujuan vzr pia ktk FB yako kuna picha moja mie bado sikujui nitaanzaje kukusaidia kiivyo? Akajibu my tatizo ni wewe 2 mie hata sasa nko tayari kuja.
Kiukweli ni mzuri sana! nimfanyaje?
Hiyo pesa siyo ndogo. Nauli yake ya shule wiki nzima.Mbona pesa ndogo sana hiyo au umepunguza sifuri moja
Hiyo pesa siyo ndogo. Nauli yake ya shule wiki nzima.
Mtumie pesa bana sura si utaiona tu kwani inahama
afu huyo anaepiga mzinga wa buku 5 ni form one au?
Mpe pesa mtoto wa watu
Nawe ndo waingia six ehhh?Ameniambia yupo form four...
[/QUOTE]Tukueleweje wewe?Ulijuaje ni mzuri?Hebu rejea nukuu kutoka kwako.The boss hebu nisaidie kupitia majibu kwa uyu jamaa
Kichwa cha bhabari ...Hata sura simjui ananiomba hela alafu unatuletea swaga eti...
Kiukweli ni mzuri sana! nimfanyaje?
Nawe ndo waingia six ehhh?
Okay basi mtumie tu hela, tuma hela, we tuma hela yani tuma hela tu...nishapitaga na nipo kazini sasa
Mtumie pesa bana sura si utaiona tu kwani inahama
afu huyo anaepiga mzinga wa buku 5 ni form one au?