Hata sura simjui, ananiomba hela

Hata sura simjui, ananiomba hela

100% bad news...
shoga hilo, fanya kusepa..
 
picha yake moja aliyoweka facebook ndio nzuuri but sijamuona live![/QUOTE]
Unaamini kwa tupicha twa fesibuku!Je na izi za JF ndo zina-reflect uhalisia unaweza kuziamini?
 
Huyo ni tapeli, wengi wanafanyiwa hivyo, na wengine ni wanaume wanajifanya wanawake.
 
Yani ww huelew nn hapo, mwambie aje akifika utampa hela aliyotumia hata zaidi, kama utamsikia tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom