Hata sielewi namna mambo yalivyo duniani

Hata sielewi namna mambo yalivyo duniani

OddBall_

Member
Joined
Nov 8, 2026
Posts
24
Reaction score
41
Tunazaliwa bila hiari yetu.

Tunapewa masharti ya kuishi as if ulikubali kuja kuishi kwa masharti.

Hivi ni nini maana halisi ya uwepo if all we do is end up dying..

Je kuna kusudi lolote la sisi kuwepo, beside kuzaliwa, kuishi na kufa?

Maana we are living as if this life is our own and then after things go wrong our identity is shattered.

Je, nini maana halisi ya haya maisha?
 
Mtu mwenye huzuni na kukata tamaa hujiuliza hayo maswali,
Wewe ishi huwezi jua labda huku duniani ndio tunapoadhibiwa halafu tunarudi tena kuendelea na maisha ya huko tulipotoka, ukipata chance ya kuishi we ishi tu ukifa ndio utajua
Ukifa ndo utajua?
Mbona kabla Sija zaliwa sikujua?
Adhabu ya nini mkuu? Kwani kuzaliwa humu duniani ni kosa? Na ni kosa gani specifically ambalo binadamu au kiumbe hai anakuja kuadhobiwa hapa duniani?
 
Back
Top Bottom