Hata sielewi namna mambo yalivyo duniani

Hata sielewi namna mambo yalivyo duniani

Lengo kuu la kuwepo hapa duniani ni ili tuzaane
Swali litakuja tuzaane kwa faida ya nani?
Labda it's all for the ecosystem... Na cycle ya birth and death... Kama jinsi mbolea inavyo kuwa na umuhimu kwa mmea na sisi ni hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom