Mkuu ni safi sana naona wapo kinoma noma tena hawatakuwa na kuwogopa vitisho kutoka kwa viongozi wa kifisadi au wala nchi na matumbo yao tena hawa masista ni makamandoo kama wale wa kufunja matofali kwa makalio
Mkuu imenibidi kurudia tena yaani imependeza sana utasema kulwa na doto na hasa wanavo tabasabu kwa mbali nnatamani niwazidishie pongezi au tunzo ya mwaka na kama uhai upo na wakitoa tena basi wasikosi namba za simu angalau tuwe tunasikia sauti zao tuu zitatutosha na kujilewaza kwa uchofu wa ujenzi wa taifi chondi chondi namba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.