Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Na swali la msingi la kujiuliza pia, ''Nani anaeweza kukubali kuolewa na mimi? Je nina sifa za kumvutia Mke mwema ?''
utaoa mwanamke mkuu...kwani wewe ulikuwa na mpango wa kufunga ndoa na kiumbe gani kingine?
Hahahahah umeniwahi yaani mawazo yako sawa....
Hivi bwana wewe mbona miadi yako imekua namna hii hizi swimming costumes zita expire lol....
Holidays ndio hizo zaja na ndio wakati wenyewe wa mtoko wetu hivyo...
Halafu mshenga mbona shombe wangu simuoni jamani, ukimuona mwambie naugua kwa ajili yake..
Habari wadau..
Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..
Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha kufanya

Ah nawe watutupa sana....sijui hata nani anakuzuzua...
Inabidi tuanze kueka booking
Kwani wanawake huwaoni? au una wapenzi wengi na haujui umchague yupi,tatzo sisi vijana tunachagua chagua sana na vigezo tunavyojiwekea havina mantiki katika maisha unakuta mtu anasema anahitji mwanamke presantable kwani huyo yukoje? hakuna mwanamke mbaya ni kuwahudumia tu pata picha kama spika wa bunge asingekuwa anajipenda angekuwa vile au huyu wa ardhi,mwanamke ni matunzo tu hakuna kingine, wengne wanataka wanaojua kukata viuno kitandani utafikiri maisha ni kukata viuno ndo maana mwisho wa siku utajikuta hauna wa kumuoa kwani itakubidi ujaribu wasichana wengi ili ujiridhishe kama anajua kukata viuno mambo mengine unasahau kuchunguza ambayo ni ya msingiHabari wadau..