Hata mimi nilienda kuhesabiwa!

Hata mimi nilienda kuhesabiwa!

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,945
Jamani, mwenzenu nilienda kuhesabiwa, na ushahidi ndo huu! DSC03516.JPG
KARIBUNI...
 
Hii mbona imekaa kama msabe au chibuku.

Ile mbege huwa hawanywei humo bana kuna kitu inaitwa kata

Kwa minajili hiyo hukwenda mlimani
Siku hizi hata chibuku zinatumika
 
Hii mbona imekaa kama msabe au chibuku.

Ile mbege huwa hawanywei humo bana kuna kitu inaitwa kata

Kwa minajili hiyo hukwenda mlimani

Wazee nao wameendelea ati..wanatumia hii kunywea mbege! aisee baba angu ee...ushahidi gani mwingine unataka!??
 
Siitakua nzito sana?

Haya basi, uiweke kwenye blender...then, unywe! op vikwazo vimeisha..
hivi, hii Masa ni maotkeo ya JF boyfriend uliekuwa ukimtafuta ama!??
 
Haya basi, uiweke kwenye blender...then, unywe! op vikwazo vimeisha..
hivi, hii Masa ni maotkeo ya JF boyfriend uliekuwa ukimtafuta ama!??
Mmh nikijaribu ntakupa feedback!!Ila hiyo hapo juu ndo ya ukweli!Hehehe yeah ndo matokeo!!
 
Asante mkuu kwa kutuonesha, angalau imetuliza kiu kidogo
 
Back
Top Bottom