Hata mimi nilienda kuhesabiwa!

Chibuku nayo imevamia Moshi? Sasa hamuoni kama mnaua utalii wa ndani?

Tunaenda na wakati!Tatizo la kata zile rahisi kupasuka...ila chibuku hata walevi wakipigania wataishia kumwaga pombe tu!
 
Kitochi kinahusiana na gongo sio mbege!
Wewee,wacha jeuri yako,hlo bohora linaitwa album na mdogo wake ndo huitwa kitochi,ila imepanda bei hakyamungu albamu sa hv mia nane c bora ninywe dadii arifu!hasara hii n mama manka hajapata hata unga wa ukari
 
hiyo kitu ni mbege.
enda na efo na ewe kwawango mbege etu mmbari uku kufumie kishumundu ndii kwechi wari na mbege ewe munama wiki iya icha nchenda nndeni alafu ngishuke mwiri uwicha ngiina wari deni laure kucha wome na wakeku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom