Hata mambo ya msingi tusihoji?

Wewe acha ujinga,
tambua kuna ruled na rulling classes
Ruled class wakikosea tuna watumbua but
Rulers wakikosea tuna wapromote
Siku zote sheria inawatawala maskini na ndio waliojaa jela ila wenye fedha wanapanda juu ya sheria
 
Nilikuwa nasikia tu Mtu kajitoa muhanga na mabomuu...!! Ilaa feeling alizonipa Mkulu nimeona kumbee inawezekanaa kabisaa...
 
Bwana yule hawezi kuwa na akiba ya maneno daima, anendesha nchi kama anaendesha familia yake....anavimbishia misuli wapiga kura wake kashasahau kama alikua anapiga hadi magoti kuomba kura....hakika madaraka ni kilevi
alipiga push up kuomba kura .. time will tell
 
Hapa inabidi turudi kwenye uchaguzi tu hakuna namna, tulikosea sana kumpa nchi mtu huyu.....sasa anaendesha kama familia
Ulimpigia Kura? wanaoendelea kulalamika ni wale wale ambao hawakumpigia kura.Come 2020 kura tutampa.
 
nawaonea huruma sana wana ccm maana wanapata uchungu mara mbili.....HAHAAAAAAA
 
Yanayosemwa yapo, kama hayapo ipo siku yataonekana...kuna kitu kinaendelea kati ya mkuu na mteule wake.
 
Hakuna cha kufanya sasa zaidi ya kulaumu huyu jamaaa Daudi bashite ni mwiba
 
Ulimpigia Kura? wanaoendelea kulalamika ni wale wale ambao hawakumpigia kura.Come 2020 kura tutampa.
We kura utampa hata hujakatazwa, lakini binafsi never ever siwezi kumpa kura yangu tena bwana huyu, 2020 unasema utampa kura tc okay mind you kuna kifo pia, ugonjwa na mengine mengi usiweke 100% utampa mie sitampa coz hata nikifa kesho kura yangu ntazikwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…