KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
mh! haya
Au hata wewe basi plse.
mh! haya
Unaliona dogo? Kalale madam, ngoja sie tujaribu kumliwaza huyo kijana wetu pepo aondoke.
Si lazima uwe ushauri wako na kama huna ushauri mzuri wa kujenga bali kubomoa basi ni bora kukaa kimya. Nadhani umeshasikia watu waliojiua kwa sababu mbali mbali ikiwemo ugumu wa maisha. Sasa mtu anapokuja hapa kutafuta msaada wa matatizo yake yanayomsibu humsaidii lolote pale unapoandika kwamba akijiua atasaidia kupunguza jam. Kumbuka matatizo ya binadamu hayachagui leo kwake kesho kwako. Sijui utasikiaje pale unapokuja hapa kuomba ushauri wa namna ya kupambana na matatizo yako halafu watu wakwambie katafute jengo lenye ghorofa nyingi kisha ujirushe na hivyo kumalizana na matatizo yanayokukabili. Sioni nini ambacho hakieleweki katika aliyoyaandika huyu muanzisha hii thread.
wewe una kazi pamoja na maisha mazuri na ndo maana hufikirii hayo,unajua daktari anavyoambiwa na mgonjwa kwamba sindano aliyomchoma inauma hawez elewa maumiv yanakuwaje,cku akija kuugua na yeye akachomwa sindano ndo hapo hupata somo na kujua nini maana ya maumiv,mungu akubariki
Sasa huoni kama tuko kundi moja?
Nalog off
Tafuta demu akuondolee stress Lol
mbona kujiua ni poa tu!
Nalog off
aliyekuambia mie nina kazi na maisha mazuri nani???
Dogo jipange upya hayo maisha kila mtu anayapitia ajira zipo taratibu zitapatikana si kama unavyotaka wewe gharama za maisha ni tatizo la nchi nzima.
^^
Nachojua mimi BAK
wewe ni mwanaJF uliye makini,mwenye hekima,uliyejawa ufahamu wa mambo mengi na ndio maana kwa namna moja au nyingine wewe ni kama mwalimu kwangu niwapo jukwaani.
Unaelewa vema kuwa ukiona mmoja ana hekima ujue kuna --------,,
Una hekima mimi --------,, sasa ni suala rahisi sana..
-------- huropoka (ie what I did) bali mwenye hekima kinywa chake hujenga (i.e what you did)
Ni jambo rahisi tu la wewe kumwambia mleta mada kuwa ushauri wa Himidini haufai.
^^
^^
Tujitahid kua serios kwnye ishu iliyo serios,2ckariri mambo. Sio kila anaehitaji ushaur analeta mzaha. Ushaur wko ni muhim sn kwa mlengwa.
Mkuu watu wote huropoka hapa JF hata mie nimewahi kuropoka na kuwakosea watu wakaniambia hadharani BAK umetukosea nikarudi kusoma nilichoandika na kweli nikakubaliana nao kama nimewakosea na kuwaomba radhi si kwa PM bali hadharani. Panapokuja maswala ya mtu kutaka kujiua inabidi tufikirie mara mbili mbili kabla ya kuandika kile tunachofikiria kuandika....labda kwa maoni yako ushauri wako kama tunaweza kuuita ni ushauri, wa kujiua kwa sababu atasaidia kupunguza jam huoni kama una walakini.
Usiku Mwema
Si lazima uwe ushauri wako na kama huna ushauri mzuri wa kujenga bali kubomoa basi ni bora kukaa kimya. Nadhani umeshasikia watu waliojiua kwa sababu mbali mbali ikiwemo ugumu wa maisha. Sasa mtu anapokuja hapa kutafuta msaada wa matatizo yake yanayomsibu humsaidii lolote pale unapoandika kwamba akijiua atasaidia kupunguza jam. Kumbuka matatizo ya binadamu hayachagui leo kwake kesho kwako. Sijui utasikiaje pale unapokuja hapa kuomba ushauri wa namna ya kupambana na matatizo yako halafu watu wakwambie katafute jengo lenye ghorofa nyingi kisha ujirushe na hivyo kumalizana na matatizo yanayokukabili. Sioni nini ambacho hakieleweki katika aliyoyaandika huyu muanzisha hii thread.
Da pokea like zangu mia nimekupenda buree Watu wengine hapa wanataka tu waone thread za ngono na mapenzi sentive issue kama hii mtu mzima unashangaa anakejeli hujafa hujaumbika.
Mkuu watu wote huropoka hapa JF hata mie nimewahi kuropoka na kuwakosea watu wakaniambia hadharani BAK umetukosea nikarudi kusoma nilichoandika na kweli nikakubaliana nao kama nimewakosea na kuwaomba radhi si kwa PM bali hadharani. Panapokuja maswala ya mtu kutaka kujiua inabidi tufikirie mara mbili mbili kabla ya kuandika kile tunachofikiria kuandika....labda kwa maoni yako ushauri wako kama tunaweza kuuita ni ushauri, wa kujiua kwa sababu atasaidia kupunguza jam huoni kama una walakini.
Usiku Mwema
mbona kujiua ni poa tu!
Nalog off
mbona kujiua ni poa tu!
Nalog off
Jiue wewe basi ili "u-log off" properly kama ni "poa tu" kama usemavyo hapa!