Hata leo pia nimejaa majonzi tele

Hata leo pia nimejaa majonzi tele

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
714
Reaction score
219
Ndugu zangu wanajamvi upepo wa maisha bdo haujakaa vzur kwangu kila kukicha bora jana,wenye mapenzi mema napenda tuchart kwa pm,tupeane mawazo,ushauri,na hata ikikupendeza unisaidie mtanzania mwenzako,karibuni sana!,naona lile pepo la kujiua bdo linanifatilia!
 
Washawasha na Himidini kama hamna la maana la kuandika pale mwenzenu anaomba msaada katika matatizo yake yanayomsibu ni bora mpite kimya kimya tu jamani dah!!!!

asante sana kaka kwa kuwaelewesha,naomba pia waelewe kuwa matatizo kaumbiwa binadamu na si nyani!,pia waswahili husema leo kwangu kesho kwako,humu dunian ni wapitaji!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu ukijiua unakuwa umemkasirisha Mungu aliyekupa uhai,utamhuzunisha mama aliyekubeba miezi tisa tumboni,utawadissappoint ndugu zako waliokuwa bega kwa bega nawe kwenye kila hatua ya makuzi yako,utampa simanzi mchumba/mpenzi wako aliyejitolea kusimama nawe kwa kila jambo! Tuna machungu mengi kwenye maisha ila tunayachukulia as changamoto na kusonga mbele! Hebu rudisha tumaini lililopotea!
 
Pole ndg,ila kujiua sio kukwepa matatzo mana kuna maisha mengne baada ya tendo hilo,hvo utakua umeruka majivu na kukanyaga moto. Shinda hilo pepo zingatia maombi na kujichanganya na wenye hekima utasaidika.
 
Ndugu yangu ukijiua unakuwa umemkasirisha Mungu aliyekupa uhai,utamhuzunisha mama aliyekubeba miezi tisa tumboni,utawadissappoint ndugu zako waliokuwa bega kwa bega nawe kwenye kila hatua ya makuzi yako,utampa simanzi mchumba/mpenzi wako aliyejitolea kusimama nawe kwa kila jambo! Tuna machungu mengi kwenye maisha ila tunayachukulia as changamoto na kusonga mbele! Hebu rudisha tumaini lililopotea!

magumu yamekuwa mengi sana,yan kila ninapoamka matatzo yanayonikabili inakuwa afadhali ya jana,lakini si haba umenipa moyo asante kwa hili
 
Washawasha na Himidini kama hamna la maana la kuandika pale mwenzenu anaomba msaada katika matatizo yake yanayomsibu ni bora mpite kimya kimya tu jamani dah!!!!

hivi kwa nini asichaRT hapa mpaka pm???
Na KUCHART ndo nini???
Aaaaaa ngoja mie nikarareeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
hivi kwa nini asichaRT hapa mpaka pm???
Na KUCHART ndo nini???
Aaaaaa ngoja mie nikarareeeeeeeee

It might not be easy for everyone to be open about their problems.
 
^^
BAK na Valentina
Nimewaelewa vema,, mleta mada ana hoja ya msingi ambao ni msongo wa mawazo.
Na ana haki ya kushauriwa vema..
Lakini pia kuna mambo ya msingi ya kuangalia
1. NAMNA YA KUJIELEZA
Wakati mwingine inakuwa ngumu ushauri nini uache nini kwa sababu ya namna mtu anavyojieleza.Hujui yupo serious au ndio wale wale wanaokuja tu kujifunza kuanzisha mada.
2. TUNATOFAUTIANA UELEWA
Hapa jukwaani kuna watu wa aina nyingi,kuna wasomi wazuri,washauri wazuri,madaktari timamu n.k Lakini wapo pia akina mimi,wabeba mikaa,makonda,wanywa viroba,na vilaza kama nilivyo..hivyo ni jukumu la atafutae ushauri kupima ushauri unaomfaa.Si lazima uwe wangu.Na nikujuavyo BAK unaweza ku-press report abuse button ushauri ukafutwa ili usipotoshe,,lengo ni kuelimishana na kusaidiana.
^^
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom