Nilihisi mambo yangejiset lakin kila siku zinavyozidi kwenda ndo nazid kumchukia huyo jamaa....Labda kwakuwa hana kauli ndio maana!!!!!
Tatizo hukumuweka wazi tokea awali kwamba huna hisia naye, ukaona vijisenti vyake vitamu, kaza moyo umwambie mapema kabla hajaja kulipa mahari.....halafu urudi kutuambia kitakachokupata
Mbona naona kama haupo serious?
Habari zenu JF........
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.
Anatoa huduma zote kwangu kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli.
Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)
Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......
Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!
Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.
Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya.
Ennie njoo ujionee huku hili balaa.......Naombeni ushaur nimwambieje jaman maana mwenzangu katangaza kwao kote,tena wamepanga harusi itakuwa Moshi na ndoa kabla ya kombe la dunia teh teh teh.....
lara 1 Heaven on earth Munkari, Kaizer, christine ibrahim, Baba V, Madame B, watu8, Nivea, Mamndenyi, Mshinga, wakyagara wakinyora, neggirl, Ablessed, GreenCity na wengineo wote jamani...........
ubhualangani itolo...mma setano alina maka!
miss strong, miaka mitatu ni mingi mno. Inawezekana ukakaa na mtu then ukaona kweli hamuendani, unapaswa uchukue hatua mapema.Eli79 huwa napenda kuwa mkweli sana katika maisha.....jamaa nilivyozid kuwa nae naona hatuendani kabisaaa yani,kimawazo na hata kimtizamo kabisaa.
Nilitumia pesa yake sawa lakin nadhani unafahamu swala la ndoa nahis atanipa shida mwenzenu ndio maana nataka niachane nae.
Sasa me naona kabisa mtu simuelewi elewi hata kauli kama mwanaume hana sasa nifanyeje?????Liwalo na liwe bhana
Mdogo wangu umetutia aibu lol! Ningekuwa karibu ningekufinya hiyo mbunye! Uroho gani huo? Pesa unakula halafu hakuna returns lol! Umemuonea mchaga wa watu.
Nimechukia siyo siri, kama huna malengo na mtu usimpotezee muda na resources zake.
Yaani ukimuacha uta search ndoa wewe mpaka kwa kalumanzila. Fikiria mara 2!
miss strong, miaka mitatu ni mingi mno. Inawezekana ukakaa na mtu then ukaona kweli hamuendani, unapaswa uchukue hatua mapema.
Sasa miaka mitatu, inawezekana ulimpa go ahead ndo maana akakuweka wazi hata kwa jamaa zake, kumbuka age difference kati yenu, 14yrs mwenzako anataka kutulia na kuanzisha familia, wewe unacheza na hisia zake... IT'S NOT FAIR AT ALL YOUNG LADY!
Na nyie wanaume mnao date 18-20 kids, haya ndo matokeo yake!
Mdogo wangu umetutia aibu lol! Ningekuwa karibu ningekufinya hiyo mbunye! Uroho gani huo? Pesa unakula halafu hakuna returns lol! Umemuonea mchaga wa watu.
Nimechukia siyo siri, kama huna malengo na mtu usimpotezee muda na resources zake.
Yaani ukimuacha uta search ndoa wewe mpaka kwa kalumanzila. Fikiria mara 2!
Hivi wewe si ndo ulikuwa na skendo na lecture...?!!!!!!
^^
Pasingekuwa na ban ungejua side B yangu
^^
Yap nitakachokifanya ni kuomba Mungu anifungulie hili fumbo...Linanipa shida,kama ndo Mume huyu aliyenipa bas na ijulikane lakin mwenzenu sina hisia nae na hata hana mawazo kama mwanaume!!!!
^^
Pasingekuwa na ban ungejua side B yangu
^^
Ndo nataka kupiga chini alafu sasa hatuendani kabisaaaa ingawa anatoa mpunga kishenzi!!!!