Hatukuanza mahusiano kama wapenzi bro....na ndani ya hiyo miaka 3 sio kwamba tulikuwa tukionana yaweza pita hata miez 6 o 7 hatujaonana ingawa alikuwa ananitumia pesa tena atakwambia itakusaidia shule.
Mwaka jana ndo anakuja na hoja yakutaka kunioa na kuwapa ndugu zake no wananipigia kama shemeji yao na wengine wifi sasa lakin me sikuwa naridhika.
Elimu yake ni darasa la 7,mie ndo namaliza degree yangu nw!!!
Nimefikiria vitu vingi bhana Eli79 acha apite tu yeye ana kama 38!!!
Huna la kufanya jifunze kumpenda kwa sababu yeye tayari amesha kupa nafasi kubwa kwenye maisha yake. Ukimletea ujinga usishangae kutandikwa risasi wewe au atakayekuchukua.
Then be bold and tell him the truth...
Japo nadhani kuna jambo hapo, elimu itakuwa inamata hapo...hujawa wazi sana ila nna wasiwasi, ELIMU....
huyu mtoto itakua kapata sharo humu JF ama mahali anamzengua akili zake...Na anaekula mzigo yupo hapa JF?
just asking..
nazan huna haja ya kumchukia kwa sasa-kwa kuwa ushakula pesa zake-muda wa kuzilipa umefka,kama ulikuwa humpend bas hata pesa zake usingezigusa
huyu mtoto itakua kapata sharo humu JF ama mahali anamzengua akili zake...
Mwambie jamaa ukweli humpendi asepe zake,heri ya nusu shari, jamaa ataumia sana ila baadae atapona na kupata demu mwingine bomba zaidi kuliko wewe demu atakaempenda jamaa kwa dhati.Huo si ujanja dada yangu , jiulize angekuwa kaka yako wa damu anatumia hela zako wewe kwa kwa demu wake ambae anamlia pesa tu! ila ukijaribu kuonja asali mbona utachonga mzinga!
miss strong bahati nzuri nilikusoma mapeema...Bhana ya Mungu mengi.....alafu ukikaa nae anaongea mipango yakizushi yaani mipango mingiiiii me simtaki bwana.
Yaani ukimwangalia jinsi alivyo na vijisent anazomiliki tofaut yan bwana me sitaki,najitahid mwenzenu nashindwa.Siku moja aliniambia i lov u kwa kiingereza bas sijui akaitamkaje yani nilipata maudhi......sijui hata nielezeje!!!!
Bhana ya Mungu mengi.....alafu ukikaa nae anaongea mipango yakizushi yaani mipango mingiiiii me simtaki bwana.
Yaani ukimwangalia jinsi alivyo na vijisent anazomiliki tofaut yan bwana me sitaki,najitahid mwenzenu nashindwa.Siku moja aliniambia i lov u kwa kiingereza bas sijui akaitamkaje yani nilipata maudhi......sijui hata nielezeje!!!!
Dr. Mo
Matokeo ya kudate vitoto vidogo ndio haya...
Wanaume tokeni na wadada wanaojitambua, sio watoto hata mbunye hawajui kuosha, pichu hawawezi kufua.