Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Sio siri bi dada umevuka mipaka...Umeshamtumia mkaka wa watu vyakutosha,sasa unamuona si wa maana...
Kama humpendi inamaana hukulijua hilo tangia mwanzo?na kwanini hukufanya kitu muda wote huo umesubiri miaka 3 ikisha ndio unaamua humpendi na unataka kumuacha? Inamaana ulikuwa upo nae kimaslahi tu?
Yaani umemuacha mtu kaenda mpaka kwenu amejitambulisha WHAT :shock:?Isitoshe umepata mtu anayekujali sana wewe hata mbunye humpi na kangangana nawe..Utakuja kumtafuta huyo wa kumpenda mpaka ulie kilio cha mbuzi...JIFUNZE KUMPENDA UTAMPENDA TU...Wazazi wangu walipooana hawakujuana lkn wakajifunza kupendana nadhani na ww unapaswa ufanye hivo MPENDE AKUPENDAYE DADA,MFUNGULIE MOYO WAKO..Umemtia dosari ndio maana unaona hakufai.....