Hata kwenu wapo hawa?????

Hata kwenu wapo hawa?????

I dont know how i missed this one:

Kuna mwingine unamkuta baba mzima na kitambi chake anavuka barabara asubuni na mswaki mdomoni, kajifunga taulo tu na kikombe cha maji anakwenda dukani kununua mkate
 
Hata sabuni tablet,unakuta nywele unajihoji ya wapi hii!shower gel is way better if possible,lol. Kuna mijitu akikuta face towel anatumia tu! Ndo uswahili sasa huo!

nywele ya wapi????lol...
ya kule kule aisee lol..
 
Wadada wanaoweka ma-weave halafu wanawasagia wenzao wale watumia mikorogo!

Watu waishio uswahilini kujifanyanya hawana mambo ya kiswahili!

Mpaka leo sijui mambo ya kiswahili swahili ndo yepi. Na kinyume chake sijui ndo nini? Uzungu uzungu?
Mie huko sipo!!!!!

Utatandikwa na mikoba hadi ukome
 
I dont know how i missed this one:

Kuna mwingine unamkuta baba mzima na kitambi chake anavuka barabara asubuni na mswaki mdomoni, kajifunga taulo tu na kikombe cha maji anakwenda dukani kununua mkate

lol........halafu akikuta ubishani wa mpira na yeye anajiunga ....lol
 
This thread is cracking me up... Umeona hapo kwa Ngabu wa Weave vs Mkorogo?? lol...... Ndo maana nilisahau....

  1. Sipendi nipo safarini then ulokaa nae anaongea/kukusemesha njia nzima... Usiombe safari ni zaidi ya masaaa kumi...
  2. Mtu kukusemesha kiingereza just to make you feel uncomfy... Then ukirespond anarudi kwenye Kiswahili...
  3. Unamuazima mtu kitabu (hasa chuo) unakuta kachora chora, kapiga mistari ama kaandika namba ya simu alonakili wakati wa kusikiliza simu...


hahahaaaa.... au mtu anasafiri kila kituo ananunua kitu cha kula, karanga, mahindi, ugali, kuku, soda, machungwa, mayai ya kuchemsha!!! sasa subiri akianza mamboz
 
Hata sabuni tablet,unakuta nywele unajihoji ya wapi hii!shower gel is way better if possible,lol. Kuna mijitu akikuta face towel anatumia tu! Ndo uswahili sasa huo!

Yep...body wash is ten times better than bar soap!
 
hahahaaaa.... au mtu anasafiri kila kituo ananunua kitu cha kula, karanga, mahindi, ugali, kuku, soda, machungwa, mayai ya kuchemsha!!! sasa subiri akianza mamboz

lol...................
 
Hivi hao watu wapo kweli au tumeanza speculations? yaani nimekaa kucheka post after post. Lolest
 
BTW, boss ulikua unawaza nini???

Nimekumbuka mengi sana aisee
 
Au kuna ile ya kuchangia tyubu ya dawa ya mswaki! Unakuta anapiga mswaki...halafu anasukutua....halafu anaiminya tena tyubu ya dawa halafu anakwangua na brashi ya mswaki uliotoka mdomoni mwake...

Ndio maana sipendagi kuchangia dawa ya mswaki.
 
My friend, wapo sana na ni kweli

hujaona watu mikono yao kutwa ipo sehemu nyeti hata mbele za watu?
alafu kama huyo ndie mmekaa nae, akisha jishika anafungua karanga, anazimwaga mkononi na anakupa: unataka karanga? unaishia kukataa kwa kushake head, bila kutoa sababu... lol
 
RR, hawa watu wapo aisee. Kama ni mtu observant na detailed, u notice stuff bt u learn to shut ur big mouth. Mkiwa wawili observers (nina coaligue), inakua eye contact tu mshaelewana mnacheka kimoyomoyo. Saa ingine huwa najiuliza what strange behaviours ninazo,bt only others can see!
Hivi hao watu wapo kweli au tumeanza speculations? yaani nimekaa kucheka post after post. Lolest
 
BTW, boss ulikua unawaza nini???

Nimekumbuka mengi sana aisee

tatizo hawa watu wengi hawajijui
wanajiona wako normal...hapo ndipo ilipo burudani..lol
 
Ashakum si matusi chuo kuna mate wangu mdada kila saa mikono iko ndani ya jeans tena yote miwili. Nikamuuliza why do u do that? Lol,alinijibu huwa najisuka,I never shave manake napata upele unawasha. Nilikoma kuringa!
My friend, wapo sana na ni kweli

hujaona watu mikono yao kutwa ipo sehemu nyeti hata mbele za watu?
 
RR, hawa watu wapo aisee. Kama ni mtu observant na detailed, u notice stuff bt u learn to shut ur big mouth. Mkiwa wawili observers (nina coaligue), inakua eye contact tu mshaelewana mnacheka kimoyomoyo. Saa ingine huwa najiuliza what strange behaviours ninazo,bt only others can see!

au watu wawili kwenye basi wanazungumza wao njia nzima...
hawanyamazi....lol....na habari ni mambo yao binafsi....lol
 
RR, hawa watu wapo aisee. Kama ni mtu observant na detailed, u notice stuff bt u learn to shut ur big mouth.

I don't think there is anybody out there that can beat me in being observant! But most of the time people don't even think I am because I know how to keep it to myself.
 
alafu kama huyo ndie mmekaa nae, akisha jishika anafungua karanga, anazimwaga mkononi na anakupa: unataka karanga? unaishia kukataa kwa kushake head, bila kutoa sababu... lol

aisee huyo ni wa kumwambia tu..... dont let him/her get away
 
Ashakum si matusi chuo kuna mate wangu mdada kila saa mikono iko ndani ya jeans tena yote miwili. Nikamuuliza why do u do that? Lol,alinijibu huwa najisuka,I never shave manake napata upele unawasha. Nilikoma kuringa!

duh.......... kwani alzima amalize yote kabisa?? si apunguze tu
 
Ashakum si matusi chuo kuna mate wangu mdada kila saa mikono iko ndani ya jeans tena yote miwili. Nikamuuliza why do u do that? Lol,alinijibu huwa najisuka,I never shave manake napata upele unawasha. Nilikoma kuringa!
We King'asti wewe.......
 
Back
Top Bottom