Mbaya zaidi anataka akunongoneze kumbe ndio anausogeza mfuke kua even closer!Mtu hajapiga mswaki afu anakuhadisia hadisi ambayo haiishi hata umkatishe kwa kumuanzishia stori wewe yeye anageuka kuwa msemaji
Kweli kabisa... but still, we taja tu hao unao wajua.Watu wa aina hii wamejaa kila sehemu, kila mmoja kwa kituko chake, inawezekana hata wewe ni mmoja wao.
Ashakum si matusi chuo kuna mate wangu mdada kila saa mikono iko ndani ya jeans tena yote miwili. Nikamuuliza why do u do that? Lol,alinijibu huwa najisuka,I never shave manake napata upele unawasha. Nilikoma kuringa!
kumbe na hii inawakutaga, nilidhani ni mimi mwenyewe lol.
Mbaya zaidi anataka akunongoneze kumbe ndio anausogeza mfuke kua even closer!
umewahi ona wamama pesa inatoka kwenye matiti???
ndo unapewa lol
In my home I have both plastic and silver! The same goes for cups and plates. I always have plastic cups and paper plates. What a considerate host I am!
I dont know how i missed this one:
Kuna mwingine unamkuta baba mzima na kitambi chake anavuka barabara asubuni na mswaki mdomoni, kajifunga taulo tu na kikombe cha maji anakwenda dukani kununua mkate
Yote haya yana vyanzo vyake!
1. Mtoto ambaye hakulelewa katika misingi ya kumprograme mambo yake
2. Mtoto ambaye hakushirikishwa katika elimu ya maisha
3. Mtoto ambaye hakupata exposure tofauti tofauti ghafla anapata bahati ya maisha mazuri lkn exposure hakupata mapema sasa inakuwa balaa kwa wale wenye exposure na wasio na exposure kuchanganyika.
Back to topic:
Ushawahi kukutana na mtu na kila mara anajifanya ni hakimu kwako? Hawa huwa wanaondoa FURAHA ya siku!!
mtu anapenga kamasi kwa mkono halafu anataka mkono huohuo akusalimie nao..lol
hahahaaaa.... Au mtu anasafiri kila kituo ananunua kitu cha kula, karanga, mahindi, ugali, kuku, soda, machungwa, mayai ya kuchemsha!!! Sasa subiri akianza mamboz
lol,u try me! Sometimes i feel like a witch! Na its nt that comfortable unajua,unafika kwa watu unapewa soda na glass unaanza kusema mi ntapiga tarumbeta.na glass zetu za kuosha na komoa na kipisi cha saflet?kha!
umeagiza kiti moto nusu kilo na ndizi mbili, ile kinafika tu jamaa anavamia bila kukaribishwa halafu akimaliza anaondoka bila hata kuagiza kingine... Inanikera sana hii, ndo maana siku naenda mbali sana kula kitimoto. Sinza siji tena.
UNAMKUTA MWANAMAMA KATOKA KITANDANI ANAKAUVUNDO BADO,MDOMONI ANAMSWAKI MIMATE IMEMTAPAKAA DOMO ZIMA KAINAMIA SUFURIA LA CHAI,AKISIMAMA ANASUGUA MENO MARA ASUUZE VIKOMBE NA DOMO VILEVILE MALA ANAZUNGUMZA NA JIRANI MIMATE INARUKA na punde utamsikia baba chaudele chai tayari!! aghr
well said aisee
binafsi naita huo ni uchafu... utaandaliaje wengine chakula wakati hujaoga, hujanawa, domo limevunda, kwapa ndio usiseme, halafu kibaya zaidi mtu unakuta amevaa kanga moja, minywele kaiachia kila kona
pufffffffff