Hata kwenu wapo hawa?????

Nakuambia!maisha ni kuvumiliana. La sivyo unageuka chizi. Mwingine umefanya usafi kila mahali,kila kitu kiko in place sparkling, afu anakuja anatupa taulo alilojifutia kitandani (in case chumbani), ama anakuja anatumia glass afu anaacha kwenye sink (in case jikoni) hizi najua the boss zinakuhusu moja kwa moja hahaha

lol.........
 
1. Nilipokua campus (VERY long time ago) unakuta kuna mtu ameweka alarm tena ile ya ukweli alafu ikilia haamki nyinyi majirani ndio mnaamka mnaanza kumgongea.

2. Mbaya zaidi ni yule ameweka alarm, ikalia, akaamka, akaipiga "snooze", alafu akaenda kuoga huku amefunga mlango. we huna class siku hiyo or class yako ni ya afternoon, alarm inakuamsha, unaenda kumgongea hayupo.... tabu tupu!

3. Ingine tena ni mtu nanakuamsha:
him: honey, umelala?
me: mmhh ndio sweety, nilikua nimelala. Unasemaje?
him: bora wewe. mi nimekosa usingizi kabisa.
me: niamke?
him: no, lala tu.
WTF??????? kwa nini aliniamsha sasa?????
 
mtu anafungua mziki halafu anatoka .mnabaki na kero huku..lol
 
1. Nilipokua campus (VERY long time ago) unakuta kuna mtu ameweka alarm tena ile ya ukweli alafu ikilia haamki nyinyi majirani ndio mnaamka mnaanza kumgongea.

2. Mbaya zaidi ni yule ameweka alarm, ikalia, akaamka, akaipiga "snooze", alafu akaenda kuoga huku amefunga mlango. we huna class siku hiyo or class yako ni ya afternoon, alarm inakuamsha, unaenda kumgongea hayupo.... tabu tupu!

3. Ingine tena ni mtu nanakuamsha:
him: honey, umelala?
me: mmhh ndio sweety, nilikua nimelala. Unasemaje?
him: bora wewe. mi nimekosa usingizi kabisa.
me: niamke?
him: no, lala tu.
WTF??????? kwa nini aliniamsha sasa?????
Lol! Wengine ni lighter sleeper ukistika tu u need an hour kulala tena. Umenikumbusha jirani yangu chuo,anaweka alarm ya kumuamsha 4 am, afu anaamka 3 am anaenda class na kufunga mlango wake. Aisee,alarm inapiga na ilikua haina snooze!
 
Afu hatukamalizana ww bibie, twende jikoni kwanza,lol
Siku ukimuona kakako kakatwa vidole vyote usiniulize,kazi ya kuniwashia taa hahaha
The Boss thank you for making my nite..... NIMECHEKA vibaya mno.... King, Preta and Roullete.... Poleni aisee....lol.....
 
hahahaha.... Huoni ninavo kukwepa na kukuogopa?? lol..... Tafadhali bana usipeleke hasira kwa kaka bana....Khaaa! Hizo zitakua hila sasa......lol
 
Usinikwepe wifi,mbona sina neno? Huyo kakao hasira zake tofauti kabisa na za kwako. Afu nimejikaribisha futari kwenu friday,sweetie wako kakuambia?
(Tuondoke banaa the boss atatuua hapa)
hahahaha.... Huoni ninavo kukwepa na kukuogopa?? lol..... Tafadhali bana usipeleke hasira kwa kaka bana....Khaaa! Hizo zitakua hila sasa......lol
 
Wadada wanaoweka ma-weave halafu wanawasagia wenzao wale watumia mikorogo!

Watu waishio uswahilini kujifanyanya hawana mambo ya kiswahili!

Mpaka leo sijui mambo ya kiswahili swahili ndo yepi. Na kinyume chake sijui ndo nini? Uzungu uzungu?
 
The Boss thank you for making my nite..... NIMECHEKA vibaya mno.... King, Preta and Roullete.... Poleni aisee....lol.....
We hauna mtu kama huyo around you? au hata katika safari, mtu kangangania kukaa "window" alafu kila dakika anataka aende chooni.
 
Wadada wanaoweka ma-weave halafu wanawasagia wenzao wale watumia mikorogo!

Watu waishio uswahilini kujifanyanya hawana mambo ya kiswahili!

Mpaka leo sijui mambo ya kiswahili swahili ndo yepi. Na kinyume chake sijui ndo nini? Uzungu uzungu?

interesting unaposikia mdada anasema 'mi sipendi umbea umbea'....as if kuna mdada asiependa umbea...
huwa nacheka mpaka basi....lol
 
I don't do weave or any fake hair,bt mkorogo is beyond NN! Kwanza inatia kinyaa,weave inaweza isivutie tu,lol
Afu uswahili ni kama ww. Kinyume chake ni kama lizzy,hope umeelewa sasa eeh?
Wadada wanaoweka ma-weave halafu wanawasagia wenzao wale watumia mikorogo!

Watu waishio uswahilini kujifanyanya hawana mambo ya kiswahili!

Mpaka leo sijui mambo ya kiswahili swahili ndo yepi. Na kinyume chake sijui ndo nini? Uzungu uzungu?
 
We hauna mtu kama huyo around you? au hata katika safari, mtu kangangania kukaa "window" alafu kila dakika anataka aende chooni.

This thread is cracking me up... Umeona hapo kwa Ngabu wa Weave vs Mkorogo?? lol...... Ndo maana nilisahau....

  1. Sipendi nipo safarini then ulokaa nae anaongea/kukusemesha njia nzima... Usiombe safari ni zaidi ya masaaa kumi...
  2. Mtu kukusemesha kiingereza just to make you feel uncomfy... Then ukirespond anarudi kwenye Kiswahili...
  3. Unamuazima mtu kitabu (hasa chuo) unakuta kachora chora, kapiga mistari ama kaandika namba ya simu alonakili wakati wa kusikiliza simu...
 
mtu anakuomba peni,halafu moja kwa moja anaipeleka mdomoni....na kuondoa kizibo kwa mdomo...
akimaliza anakurudishia....lol
 
Back
Top Bottom