Tena aliomba aombewe ili kiburi kimuondoke.Sasa tupo awamu ya tano.
Ni yupi Rais msema hovyo asiye na staha katika wote watano?
Nani anaongoza kuomba kuombewa?
Kwa sababu gani aombewe?
So what?So...?
Kama unamuhusu kwanini na yeye hujamjumuisha hapo? Au kuweka picha yake?
Mkapa alaita watu wapumbavu na malofa, mbona hukutema hilo povu lako?
We jamaa siku hizi umekuwa na akili kama jingalao.
Ukabila uliochanganyika na njaa utakumaliza , kinachotakiwa hapa ni kujitokeza mtu yeyote awe wewe , Dotto James ama Dr Magufuli mwenyewe kukanusha hoja ya Lissu , mkiendelea kupayuka TUTAFUKUA NA MENGINE MAKUBWA ZAIDI , mbona Kikwete alikuwa anajitokeza kukanusha magumu hata ya escrow , nyinyi mnashindwa nini ?
Hata kama tuna haki ya kuwasema wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakosoa wale wote tuliowapa mamlaka...
Hata kama tuna haki ya kuwakemea wale wote tuliowapa mamlaka...
Wewe Tundu Lissu wewe...kuwa tu na haki ya kufanya jambo fulani haimaanishi ndo ujitoe kabisa fahamu na kuanza kuropoka ropoka kama mwendawazimu.
Kuwa tu na haki ya kusema, kukosoa, na kukemea haimaanishi ndiyo usitumie hekima na busara katika kufanya hivyo.
Ni lazima uwe mwangalifu. Ni muhimu kuchagua maneno yako vizuri hususan kama wewe ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi kwenye jamii.
Kusema rais Magufuli anaendesha nchi kwa upendeleo wa kikabila na kikanda ni uongo. Ni uzushi. Na ulikosea.
Hata kama una haki ya kusema hayo uliyoyasema, huna haki ya kuzusha mambo ili tu ujipatie pointi za kisiasa.
Leo hii likitokea sokomoko kati ya wananchi wa kanda ya ziwa na wa kwingine kisa hayo maneno yako, utalizuia? Si ajabu utajificha kama ulivyojificha mahakamani kule Dodoma ukiogopa kupandishwa kwenye Difenda😀.
Kuwa na haki si sababu ya kuacha kuwa makini. Jirekebishe.
Hakuna ukabila katika serikali ya Magufuli.Ukabila uliochanganyika na njaa utakumaliza , kinachotakiwa hapa ni kujitokeza mtu yeyote awe wewe , Dotto James ama Dr Magufuli mwenyewe kukanusha hoja ya Lissu , mkiendelea kupayuka TUTAFUKUA NA MENGINE MAKUBWA ZAIDI , mbona Kikwete alikuwa anajitokeza kukanusha magumu hata ya escrow , nyinyi mnashindwa nini ?
mleta maada mwenyewe ana upendeleo na ukabila. nakumbuka alivyokuwa anamnanga JK zama za utawala wake. lakini leo hii amegeuka kuwa mtetezi wa JPM simply kwa kuwa wote ni Ngoshaz....!
Ila mkuu umebadirika sana mpaka inatia wasiwasi. Rais huyu ni dictator na ana roho mbaya, wivu na husda. sijui kwa nini unamtetea/munamtetea? Boss, jaribu kuwa neutral...na dunia hii/ i guess JF members watakukumbuka kwa hiloHata Magu nimeshamnanga sana humu.
Unabisha?
Kupinga uonevu si kuzusha mambo.
Ni nani aliyezungumza kuhusu ushahidi? Mimi kwa ninayoyafahamu nimejiridhisha kuwa kauli ya Lissu sio ya kuibeza bali ni kengele kwa walio kuwa wamelala waamke na kufungua macho, pengine nao kwa wakati wao watafanikiwa kuuona ukweli.Watu kadhaa ndo ushahidi wa nini?
Ni wapumbavu pekee wanaoshangilia kauli kama hizi..."Kama hamtaki kushusha mabango yenu siyasomi sasa na mkatandike mlalie na wake zenuu"....Hahahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni lipumba anayejificha nyuma ya keyboard kutoa mawazo ya kukandamiza demokrasia
Beba boksi wacha maneno.Ben si ajabu kapotezwa na Mbowe na CHADEMA yake....
Hata kuanzisha harambee kwenye GoFundMe mchangishe pesa za kutumika kumtafuta hamjafanya.
Aibu.
Hata Magu nimeshamnanga sana humu.
Unabisha?
Vipi, bado haujafika nyumbani? Uliambia watu wa stay tuned...Hata Magu nimeshamnanga sana humu.
Unabisha?
ww endelea kusafisha vyoo vya wazungu huko,mambo ya tz waachie watz.