Hata kama una haki....

Nyani mbona zamani ulikuwaga poa tu imekuwaje siku hizi mshkaji?

Umeona jina linashuka JF unalazimisha kiki?
 
Sasa uongo na uzushi ndo uchochez?
Huyo anayechukia kila kukicha anawaita wenzie vilaza,mkapa anawaita wenzie WAPUMBAVU na MALOFA hao wapo kundi gani?

May Allah bless Me and You
 
Utakua bashite kama siyo wewe ni yule mjomba wake kule Azina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben si ajabu kapotezwa na Mbowe na CHADEMA yake....

Hata kuanzisha harambee kwenye GoFundMe mchangishe pesa za kutumika kumtafuta hamjafanya.

Aibu.
Nyani naona yale mabango umeshatandika kwenye kitanda sasahivi unalala kwenye matandiko ya mabango taratibu kiulaini.Lugha kama hizi kwa mtukufuwenu ni ya kulamba tu kama Asali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka me nijiingize ni mtawala????
Wapeni ushauri wazingatie [HASHTAG]#utawala[/HASHTAG] wa sheria na Utawala bora.
Kwan kufuata katiba ni vigumu????


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akifungwa mtasema kaonewa.
Mbona JPM hajahojiwa kuwaita VILAZA WENZIE?
Wanasiasa wangapi wameshafungwa mwaka huu?
1.Mbunge wa Kilombero
2.Mwenyekiti wa CDM Lindi vijijini

May Allah bless Me and You
 
Nini amekosea je c kweli kuwa kuna ukanda?na hata undugu acha unafiki na je yeye anayoruhusa ya kutukana na kukashifu wenzie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mtazamo wako binafsi sio wa kila mtu kwakuwa wengine wanayaona kabla ya kuambiwa na Tundu Lissu.
Uchochezi ni kusema/kupandikiza kitu ambacho hakipo lakini kama kipo na mtu akasaidia kukionesha kwa wasio kiona je kasema uongo je kachochea?!

Ingekuwa heri watu wakakemea maovu kuliko kukemea anayekemea maovu kisa anayetenda maovu mnamuogopa.
 
ww bwege si unajifanyaga unaishi marekani,mambo ya tz yanakuhusu nini?

Nawe huo ni mtazamo wako.
 
Kunya anye KUKU BATA anaharisha sio, nyie mliwaaminisha watu kuwa CDM NI CHA WACHAGA NA NI CHAMA CHA UKANDA, LEO KUSEMWA KIDOGO TU UCHOCHEZI, OK NA KUSEMA RAIS HATOKI SEHEMU FULANI?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…