Hata kama ni kupigwa, basi si hivi jamani!!!

711738-01-02.jpg



710136-01-02.jpg
Huyu dada MLOKOLE wa watu hakuwepo kwenye maandamano.!

AMEPOTEZA HAND-BAG YAKE akikimbia ili kuokoa maisha yake!...Poor her!

KWELI VITA HAINA MACHO!..Pole dadaangu katika Bwana!
 

Museveni anakula matapishi yake, Januari 1986 alisema 'tatizo kubwa la Marais wa Afrika ni kukaa - kung'ang'ania madarakani kwa muda mrefu sana' sasa yeye ana miaka 25 maradakani na ameongeza mitano ikimalizika itakuwa madarakani 30 na hana dalili ya kuondoka, pia angalia anayofanya,
jamani huku siyo kula matapishi yake mwenyewe
 
Tatizo kubwa ni kuwa hata majeshi yetu hayajui yapo kwa ajili gani. Wala hawajui wanamtumikia nani na kwa maslahi ya nani. Na hii yote ni kutokana na wanajeshi wengi kuwa STD 7 na FF Failure Na wanatekeleza Amri za kuwauwa wale wanaotakiwa kuwalinda kwa ajili ya ulimbukeni. Hivi hao wanajeshi hawaoni ugumu wa maisha? au kiposho cha siku moja cha operation maalumu ndo kinawafanya akili zao zinakuwa zero? Je Watoto wao hawasomi shule za vumbi? kwao wake zao wana kila kitu kwenye Friji maisha matamu?
Cha kushangaza hawa askari wakati mwingine ndio wana maisha mabaya kuliko hata hao raia wanaoandamana. Sasa sijui kama wao hawataki maisha mazuri au la?

Ila siku nchi za Afrika zitaanza kuajiri Graduate katika nafasi zote za Jeshi upumbavu huu utakwisha. Kwa sasa nadhani idadi ya makruta wasiosoma ni wengi kuliko wale wachache ambao wameenda shule na wanawekwa kwe nasasi tofauti na hawapo kwe hizi operation
 
Back
Top Bottom