Hata kama ni kupigwa, basi si hivi jamani!!!

Hata kama ni kupigwa, basi si hivi jamani!!!

710168-01-02.jpg
 
let me cry before i put my comments.......................................god bless us ! amen
 
hizi ndizo siasa zetu za Afrika, unato kodi na kisha unapigwa kwa kutumia kodi yako mwneyewe badala ya ile kodi kutumika kwa maendeleo....sasa kama jeshi na polisi zimemwaga kila mahali kwa mida sasa hapa Kampala, je hizo fedha zingetumika kwa mambo mangapi ya maendeleo? Watu wanalia kupunguziwa ukali wa maisha lakini badala ya kuwasikiliza wanachapwa na kuuwa!!!!!!!Wengine tunayaona hayo live hapa na inakera sana sana....kuongoza kwa mtutu wa bunduki na mamba....
 
T.I.A. (This Is Africa)
Kisa cha majeshi ya kiafrka na falsafa ya mbwa wa bwana shamba!
 
ni uganda hapo, angalia bendera ya uganda karibia na bega la mwanajeshi mkono wa kushoto
wapi hapo? Kabla hatujaanza kuchangia.Je ! Ni askari wa JWTZ au Nchi nyingine
maana sare hazitofauntiani sana.
 
711639-01-02.jpg


A Ugandan military UPDF officer (L) disperses supporters of opposition leader Kizza Besigye who gathered to welcome him back to Kampala from Nairobi on May 12, 2011. Dr Besigye was in the Kenyan capital to seek medical treatment for injuries sustained after he was attacked by state security personnel during an opposition demonstration in his home town. Ugandan President Yoweri Museveni vowed to stamp out "disrupting schemes" as he was sworn in for a fourth term. AFP PHOTO/Tony KARUMBA ​

Sasa huyu Askari Bunduki ameielekeza kwa raia hivyo ikifyatuka hapo atasemaje bahati mbaya au?
 

Watawala wa Africa hovyo sana, Shetani mwenyewe kureeee kwenye jiwe jeusi ana pondwa na mawe yenye ukubwa kama punje ya harage, iweje huyu mwanadamu tu anapigwa kwama nyoka mwenye magamba?

Hii siyo bure, kuna laana fulani imepita!
 
Asante kwa hii picha baadhi yetu inatukumbusha machungu au naweza kusema ni ukatili uliyokuwa ukifanywa na Rais Mkapa kwa kutumia majeshi yake alikwenda mbele zaidi na kuwamrisha watumwagie Risasi wazanzibar na hata miongoni mwa watu kutoka Bara walilifurahia hilo Rais mkapa kupeleka ndugu zao kwenda kuwauwa wazanzibari sababu ni kuandama kuna baadhi ya watu wa bara pia walifika kusubutu kusema kama hivi ifuatavyo Rais wetu kafanya vizuri kupeleka ndugu zetu kule zanzibar na kuwamwagia risasi
 
Back
Top Bottom