Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
<br /> iyo ni kwa museveni.wapi hapo? Kabla hatujaanza kuchangia.Je ! Ni askari wa JWTZ au Nchi nyingine<br />
maana sare hazitofauntiani sana.
...anayeuwa kwa upanga nae hufa kwa upanga..Huyo M7 atakuja kuondolewa kama alivyotolewa Samuel Doe watu wanamkusanyia nguvu tu!Museveni atakuja kuitwa na Ocampo kwajinsi anavyoendesha nchi
Lazima wapigwe kwanini uandamane kumpinga Rais halali wa nchi aliyetangazwa na tume halali na huru ya uchaguziFimbo kama za kuua chatu mla watu!
NI kweli MR,Duh naona kama Uganda hii, hivi hawa wanajeshi hawajui kazi yao jamni aagrrr inakera bana aibu tupu
Lazima wapigwe kwanini uandamane kumpinga Rais halali wa nchi aliyetangazwa na tume halali na huru ya uchaguzi