KERO Hata haya mashimo Barabara ya Singida - Arusha tusubiri Waziri Mkuu apite ndiyo tumwambie ili atoe maelekezo?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club.

Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo yamedumu muda mrefu mpaka unajiuliza hivi hapa “Kuna M/kiti wa Mtaa, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya mpaka mkuu wa mkoa? Ina maana hayaoni haya mashimo? Au tusubiri Waziri Mkuu au mama Samia waje tuwaeleze?
1772692405984.png

1772692419173.png

1772692430975.png

1772692447266.png
 
Tunaishi kwa sanaa sana aisee ile ya Dodoma kuelekea Iringa kabla haujafika Mtera imeharibika sana huku ikiendelea kukarabatiwa kwa kiwango chao cha kuendelea kukarabati kila mwaka.

Kwanini wasiite kampuni nzuri kwa gharama kubwa wakaacha kutoa hela kila mwaka kwa kampuni za mfukoni?
 
Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara maeneo ya Kirima Night Club.

Maeneo hayo kuna mashimo ya kutisha sehemu za watembea kwa miguu ambayo yamedumu muda mrefu mpaka unajiuliza hivi hapa “Kuna M/kiti wa Mtaa, Diwani, Mbunge, Mkuu wa Wilaya mpaka mkuu wa mkoa? Ina maana hayaoni haya mashimo? Au tusubiri Waziri Mkuu au mama Samia waje tuwaeleze?
View attachment 3552723
View attachment 3552724
View attachment 3552725
View attachment 3552726
SI mlisema HATUMDAI MAMA!

makelele ya nini SASA

KALAGABAO
 
Back
Top Bottom