jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
- Thread starter
- #121
Hapo kwenye ccm kutoka ICU ndipo sikubaliani na wewe hata kidogo.Kuna wachangiaji wameshindwa kuelewa kuwa 2015 CCM ilikuwa (ICU) wa Tanzania wakamchagua Magufuli, sasa CCM ishatoaka ICU, Rais Magufuli kishaiweka kwenda mazingira mazuri. Kwa hiyo ACT-Wazalendo, CHADEMA kuchukua madaraka ya nchi ni ndoto!!Msishangae kuona DR Magufuli kushinda kwa 89% or 95%!!! Act-wazalendo walifanya technical mistake 2015 which will definitely haunt them in 2020!!!