Hata baada ya mabomu ya Marekani na Urusi, ISIS bado wapo tu

Hata baada ya mabomu ya Marekani na Urusi, ISIS bado wapo tu

We umesahau hata yesu alijua kwa dhambi zako na zangu?
Km kujitoa roho ni vibaya mbona kiongozi wetu aliitwaa roho yake mwenyewe?
EB unavochanganua mambo uwe unakaa unatulia ili upate uchambuz sahihii...ivi sadaka ya kujitoa mwenyewe kwa ajili ya wakosefu na sadaka ya kujitoa kuangamiza wengine znafanana!!kumbuka yesu hakulipua MTU wala kufa kwa kuua MTU ..Alikua tayari si ili wengine waishi na kujifunza sio kuwaangamiza..a
Angeondoka na watu sio sadaka ila ni kafara na
angefanya hivo nafikiri asingekua na wafuas had leo
 
Km unaakili ndio utambue tofauti kati ya Propaganda za Makafiri Na UKWELI ulivyo.

Mnaimba nyimbo za Brainwash.
Utam brain wash PHD holder?
Na sio mmoja. Ma alfu ya watu wenye asili tofauti from all work of life wanakwenda kujiunga huko.

Mkifikiri kidogo tu mtaacha huo upuuzi wa Kusingizia Imani za Watu.

Wakeup
Slave is defending their slave master!!!
Black skin black even their brain
 
History never lie!! I cannot argue with slave who don't want to be free!!you are colonised from you brain to your last toe!!Enjoy the slavery left in your life
Dont make me start young lady.

Between us (Tanzanians) and Kenyas who is free from Mental slavery!
We are proud of our Cultures and we preserved it in all aspects of our lives but for poor Kenyans to act like White man is Always preferably.

Your girls are dressing up half Naked!
Mens wearing earrings and loose trousers, talking crazy.
Just full of stupidity.

Even your Government choose ENGLISH as a National Language. And all of you struggle to speak your mother tongue ( Swahili).

Who is A slave now nincompoop!
Shame on you.
 
Zamiluni,usijaribu kamwe kujadilia na maiti,hakuna mwenye akili asiyejua chanzo cha hivi vikundi.sasa jiulize warusi nao ni waarabu au wamarekani ni waarabu.
Ni kujitia upofu tu kwa baadhi ya watu.ila hebu shusheni data badala ya kubishana na wajuaji.
 
We mleta thread habari zako sijui huwa unaziokotea wapi! ilimradi tu upost...yamewashinda ya alshabab sasa mnaingilia ya isis...nyie wajaluo mna matatizo sana

Mkuu, jamaa huyu yuko highly predictable kama logic circuits za digital electronics (combinational & sequential).

Hapa kama kawaida yake ana anzia mbali kwa kutaka kuonyesha kwamba kundi la ISIS ni hard nut 2 crack, akisha chota watu akili ndio baadae kabisa atatumbukiza kitu alicho dhamilia kusema nacho ni: Al Shabaab, anataka ku invent excuses kuhusu dismal perfomance ya Jeshi la Kenya nchini Somalia.

Al Shabaab wanawezaje kuingia kwenye kambi ya kijeshi la Kenya wakafanikiwa kauua wanajeshi 200+ as if hapakuwepo ulizi wowote kwenye kambi - ilikuwaje tena jeshi la super power wa East Africa likazidiwa kete na a rag-tag army - is this normal?
Mark you - nisije nikeleweka vibaya binafsi matendo ya kundi la Al-Shabaab na ISIS naya kemea kwa nguvu zangu zote.

Mambo yanavyo kwenda Nchini Somalia ingekuwa vema kama Serikali ya Kenya inge withdraw majeshi yao yote kutoka Somalia na kunusuru maisha ya vijana wadogo ambao wapo katika jeshi la Kenya.
 
MK254


Unachosema ni KWELI kabisa, leo Nilikua nasikiliza DW ya ujerumani, documentary ya Iraq, kiongozi wa majeshi ya Iraq anasema USA hana ishu kabisa, na hajatoa msaada wowote so far wa maana, kijeshi wanapambana wenyewe.

Pia anaongeza kua ;
mashambulizi ya anga yanayofanywa na majeshi ya collision hayana impact hata tone kwa Islamic States(IS).
Sana sana ndege zao zimefanya makosa kadhaa ya kuwashambulia wao na Kuua wanajeshi wao kupitia makombora wanayorusha badala ya kuwapiga IS. Na hii imekua ikidhohofisha uimara wao ikiwemo kuharibu magari yao ya kijeshi.


Maoni ya wanajeshi LA iraq hayatofautiani na maoni ya wapiganaji wa kabila LA yazidi.

In short IS hawajadhohofishwa na mashambulizi ya anga.
 
Mkuu Marekani alikua anapiga makusudi kabisa wakiwepo wanajeshi,watoto,kina mama na wazee! huyu jamaa hafai hata kidogo shenzi, na anaemsapoti atakua anamatatizo kichwani! kwa sasa mid est haikaliki inasikitisha sana,na yote haya anayaanzisha huyuhuyu marekani,,,,na ndiomaana balaa lolote likitokea kwao naona ni sawa tu acha wafe pumbavu kabisa

Mkuu hivi ulifanikiwa kusikiliza tamko la Obama kuhusu kusitishwa mapigano huko Syria, anajifanye yeye ndiye alifanikisha kumaliza nguvu za Daesh/ISIS nchini Syria wakati Dunia nzima inajua Jeshi la anga la URUSI ndilo lilimefanikisha kuwa contain waasi.

Obama aliniudhi zaidi alipo sema ndege za Urusi zinauua na kujeruhi raia wengi na kusababisha tatizo la wakimbizi kukimbilia Ulaya!! Hapendi kabisa kuzungumzia mchango mkubwa wa Urusi katika suala zima la Syria na inavyo elekea Obama na Uturuki wana plan B ya kujaribu kuvamia sehemu zinazo kaliwa na wakurd wa Syria na Iraq - sehemu hizo zina utajiri mkubwa wa mafuta wakifanikiwa njama zao watamega sehemu ya aridhi ya Syria na Iraq na kuhunda an mIndependent country chini ya moderate Kurds ili US iendeleze mbinu zake za kupata mafuta ya chee, nina hakika Iran na Russia watahakikisha njama hizo zinazimwa. Kusema kweli Uncle SAM ni janga wa Dunia i.e Emperor of chaos, nikiona baadhi ya members wanashabekia Taifa hilo nawashangaa sana.m
 
MK254


Unachosema ni KWELI kabisa, leo Nilikua nasikiliza DW ya ujerumani, documentary ya Iraq, kiongozi wa majeshi ya Iraq anasema USA hana ishu kabisa, na hajatoa msaada wowote so far wa maana, kijeshi wanapambana wenyewe.

Pia anaongeza kua ;
mashambulizi ya anga yanayofanywa na majeshi ya collision hayana impact hata tone kwa Islamic States(IS).
Sana sana ndege zao zimefanya makosa kadhaa ya kuwashambulia wao na Kuua wanajeshi wao kupitia makombora wanayorusha badala ya kuwapiga IS. Na hii imekua ikidhohofisha uimara wao ikiwemo kuharibu magari yao ya kijeshi.


Maoni ya wanajeshi LA iraq hayatofautiani na maoni ya wapiganaji wa kabila LA yazidi.

In short IS hawajadhohofishwa na mashambulizi ya anga.
Unasikiliza Redio ya Kijerumani kuhusu habari za Iraq halafu unatuletea hapa?
Nyie watu kwanini mlikimbia shule?

Ujinga ni hatari kuliko Ukimwi.
 
Unasikiliza Redio ya Kijerumani kuhusu habari za Iraq halafu unatuletea hapa?
Nyie watu kwanini mlikimbia shule?

Ujinga ni hatari kuliko Ukimwi.
Kama Ujinga ni Hatari kuliko Ukimwi. Basi wewe utakua una tatizo kubwa zaidi ya ngoma.

Manake ujinga sio mzigo unaweza kwneda nao kokote. Hautakuchosha.

. Sasa kwa kauli yako wewe ni zaidi ya wajinga milioni.
Hakuna argument ya msingi uliyoweka hapa. Sana sana umeropokwa.
DW ni miongoni mwa media za kuheshimika zaidi duniani.
Wewe kidudu mtu unakuja kuleta ubishi usio kua na tija.

Wewe ni zaidi ya zumbukuku... Wewe ni zaidi ya popompo, wewe ni pwampwampwa kabisa.
 
Hawa Vichwa ngumu watakuelewa kweli! Maana Marekani tayari ilishawateka akilizao kitambo, zimekuwa kama za nguruwe
Ametekwa nani wewe extremist!! After been radicalized then unakuja umbwambwaja hapa
 
Zamiluni,usijaribu kamwe kujadilia na maiti,hakuna mwenye akili asiyejua chanzo cha hivi vikundi.sasa jiulize warusi nao ni waarabu au wamarekani ni waarabu.
Ni kujitia upofu tu kwa baadhi ya watu.ila hebu shusheni data badala ya kubishana na wajuaji.
Umesahau kuwa huwezi kuwagombanisha kamwe wenye akili !!Wakinga na wapumbavu pekee ndo wanaweza kugombanishwa tena kwa kutumia ujinga wao
 
Back
Top Bottom