MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,228
- 50,379
Hii ramani hapa nimeipata kule Quora, ISIS wanazidi kutanua na kuna mikoa kadhaa ndani ya nchi tofauti ambazo wametwaa na kutawala. Sasa sielewi kabisa maana nguvu nyingi sana na raslimali zimetumika dhidi ya hili kundi, Marekani amepiga mabomu hadi amehema, Mrusi kaja na mikwara, akarusha hadi intercontinental ballistic ambayo tuliona kombora linachana anga ya mataifa kadhaa, yeye naye naona kama anahema tu.
Mataifa mengine pia yamerusha ngumi humo, kama vile Saudi Arabia, Uingereza, Turkey, Canada n.k. Lakini bado ISIS wapo wapo tu. Yaani hawa watu siwaelewi kabisa, japo kuna baadhi ya wanaJF huwa na majibu rahisi rahisi eti ISIS walibuniwa na Marekani na ndio maana hawapigiki. Lazima kuna kitu kingine humo, maana naona kwa mwendo huu hawa wataimaliza dunia.
Tayari wameanza kuingia EAC, wamebuni mlengo wao pale Somalia na muda usio mrefu tutaanza kuwaskia humu.