DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,315
- 2,740
Data za ISIS nani asiyezijua kufikia hapo tulipo. Leo hii masaa matatu awali wamevamia Baghdad kwa kujilipua lipua. Yaani hata dunia haifuatilii tena kuhusu hawa watu. Hebu soma hiki walichokitenda leo ISIS storm Baghdad with suicide bombers and gunmen in 'wide attack'
Hapo ndio mjue ISIS ipo chini ya marekani,Saudia na Israel...matibabu na huduma zingine zote wanazipata from Israel kwakuwa ni karibu pale