Hata baada ya mabomu ya Marekani na Urusi, ISIS bado wapo tu

Hata baada ya mabomu ya Marekani na Urusi, ISIS bado wapo tu

Naogopa radicalization waliokufanyia wewe isije ikanikuta
Ndg.Mpendwa Usiogope wewe ni Rijali... Info. ntazokupa ni from international sources...Media (CNN,ALJ,BBC nk nk) sitoe kijiweni....
Wala mie sintopendelea uangukie ktk sector hiyo!! You are free to see and to learn!!
Ndo maana wengi tunalitazama jambo hilo kama series/aliyojichimbia kaburi atajizika mwenyewe!!!
 
Km unaakili ndio utambue tofauti kati ya Propaganda za Makafiri Na UKWELI ulivyo.

Mnaimba nyimbo za Brainwash.
Utam brain wash PHD holder?
Na sio mmoja. Ma alfu ya watu wenye asili tofauti from all work of life wanakwenda kujiunga huko.

Mkifikiri kidogo tu mtaacha huo upuuzi wa Kusingizia Imani za Watu.

Wakeup
Elimu ya kuweza kupambanua changamoto za maisha,PHD unaesema brain wash na hiyo ndio inayotakiwa kwani inatusaidia kupambana na changamoto za maisha ,kuuondoa umasikini,kutafuta dawa za magonjwa!! Lakini kamwe sio brainwash ya kuvishwa bom,kumgeuka ndugu yako na kumwambia kafiri, kumuunga mkono slave master ambae had Leo nchini mwake biashara ya utumwa inafanyika kisirisiri then anakwambia muafrika mwenzio muite kafiri Kwanini usimwite kafiri yeye alietoka Uarabuni kuja kuwatumikisheni babu zenu,kuwauweni, Kweli Enyi Waitikadi ni nani alowaloga?Hata msijijue ninyi ni kina nani?mmetoka wapi?? Kaa usiende shule endelea kufuga ndevu alafu ubaki unalalamika Marekani wanachonganisha,Mara wanaunda vikundi hujiuulizi kwann awachonganishe nnyi tu asiwachonganishe warusi,wachina,wahindi siku zote wajinga ndo hugombanishwa
 
Whoa, [emoji2] hapa kahtaan akikusikia atatapika povu hujawahi kuliona. Tena atakuja na picha kabisa.[emoji85] ha ha ha ha
 
Kama Ujinga ni Hatari kuliko Ukimwi. Basi wewe utakua una tatizo kubwa zaidi ya ngoma.

Manake ujinga sio mzigo unaweza kwneda nao kokote. Hautakuchosha.

. Sasa kwa kauli yako wewe ni zaidi ya wajinga milioni.
Hakuna argument ya msingi uliyoweka hapa. Sana sana umeropokwa.

DW ni miongoni mwa media za kuheshimika zaidi duniani.
Wewe kidudu mtu unakuja kuleta ubishi usio kua na tija.

Wewe ni zaidi ya zumbukuku... Wewe ni zaidi ya popompo, wewe ni

pwampwampwa kabisa.
mkuu hata watu wa taarabu hawakuwezi hakika umekereka na ukajipambanua kabisa.
 
Mada imehamia madhabahuni hata wanaojipambanua kuwa wasomi wapo mtegoni vile vile.dini hizi zitawamaliza waliomo,na wasiomo.
 
Mada imehamia madhabahuni hata wanaojipambanua kuwa wasomi wapo mtegoni vile vile.dini hizi zitawamaliza waliomo,na wasiomo.
Ukitaka mada ihamie madhabahuni. we wataje hawa waarabu magaidi tu. Utaona apologists watakavyojaa hapa.
Tena watakuja na vifungu kama vile wamehitimu ushemasi ama mapadre.[emoji2] .
 
Wewe unachuki zako binafsi na waislam na ndio maana hutaki kuelewa unapoeleweshwa.Wale ISIS,Boko Haram&Alshabaab sio waislam. Ni makafiri walijivika gamba la Uislam ili kuuchafua.Uislam umeharamisha upumbav wanaofanya hao wase.n.ge uliowataja.
Au unababaika na kanzu na ndevu?
sio waislam wale?! yan wewe hupishani na papa francis kusema trump sio mkristo!
 
Ukitaka mada ihamie madhabahuni. we wataje hawa waarabu magaidi tu. Utaona apologists watakavyojaa hapa.
Tena watakuja na vifungu kama vile wamehitimu ushemasi ama mapadre.[emoji2] .
mkuu ni shida sana
 
sio waislam wale?! yan wewe hupishani na papa francis kusema trump sio mkristo!
Umeonaaaa eeh. Wale Islamic States, Alqaeda and their affiliates ni True Muslims....

Tena wale ndio wanafuata hadithi kwa hadithi, na scriptures Aya kwa Aya, Hatua kwa hatua.
Wanaishi wakiwa wamejisalimisha kwa mola wao. Hawamueshimu yeyote wala kumuogopa yeyote zaidi ya Koran na mola wao.

Wana fight in Allahs'way.
Wamerisk maisha yao mali zao kwaajili ya Deen.
Wanakula deen,
wanapumua deen
wanazungumza deen
wanapigania deen.
Wanavaa kideeen,
wananyoa kideen,
wanapigana kideen na
kwa ajili ya deen.

Anayekataa hilo mbele yao huyo ni kufar tu.[emoji2] [emoji85]

Hapa tujadili namna ya kuwakabili lakini kuhusu wao kufuata dini. Ni KWELI hakuna Shaka katika hilo wale wanafuata na kuuishi uislamu wao.
Imani yao kwenye uislamu ndio inawafanya wawe vile...
 
Tatizo sio kufata dini tatizo ni pale wanapoishi kaa simba katika banda la mbuzi ili hali nao ni mbuzi!! Hawa wenzetu wanachukua kaz ya mungu ya kutoa uhai,nafikiri wanadhani mungu hawezi kuuchukua ili hali yy ndo kaumba!!wamesahau habar za Noah ,Sodoma na Ghomora!!Mungu hana mshirika yy tu ndo anahaki ya kuua lakin s mwanadam kwan nae n mja na anadhambi vilevile!!.....Lakini nafikiri kungekua na haja ya hawa walipuzi wanaotoa kafara wenzao wangekua wanarud waawambie walichokikuta
 
Tatizo sio ISIS tatzo n mlengo wa iman wao wanatumia iman kuendeleza mapambano ndo maana wanazdi kutawala nchi mbalmbal ambazo iman yao IPO!!Naswala la imani ni hatari aisee kwa sabab kitu kinachoogopesha ulimwengu mzima kwa kila kiumbe n kifo!!Sasa kama imetokea dini inayosema ukiua unaenda mbinguni na imefanya watu wasiogope kifo!!kwa kua tu wameambia ukiua unaaidiwa maisha Mapya baada ya kifo maatokeo yake ndo hayo !!Inashangaza watu wanakua brain washed kias icho
Umenena sana mkuu
 
Wakati tunapost kwa sasa Operation ya Ku retake Mosul inaendelea(ikiongozwa na Marekani), ukizingatia hakuna mpaka kati ya Iraq na Syria kwenye eneo hili , kwa maoni yangu hii ni best strategy kwa US-led Coalition kwa sababu na wao wamesema they will use ground forces if allowed by Iraq forces which means maeneo ya Syria yatakuwa chini ya wanamgambo wa Kikurds na kwa msaada wa US hivyo kuufanya mgogoro kuwa mkubwa Zaidi na njia kwa Saudi na Turkey kuingia Syria, in long term mtu asiye na Economy yenye nguvu ndo ataathirika..
 
Back
Top Bottom