Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,974
- 6,926
Jifunze kunyamaza unapokua na hasira, zikitulia tafuta maneno positive ya kuzungumza na mpenzi wako ili muwekane sawaHello,
Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.
I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.
Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.