Hasira zinaniharibia mahusiano

Hasira zinaniharibia mahusiano

Inawezekana ninachokosea pale napoficha udhaifu wangu kwakuogopa labda atanikimbia

Hapana usiwaze ivo ndomana nkauliza ivi mnakaa kwa mda gani mpaka kuingia kwenye mahusiano? Pia kuna njia nyingi nzuri za kutumia kufikisha ujumbe kwa mwenza wako na akakuelewa

Mfano babe wangu nikisha maliza ku sex naye ndo huwa ananieleza jambo lake tena najikuta nqmsikiliza sana
 
Wewe ni Muhehe, Mnyaki, Mchaga au Mpare?

Kama sio wa makabila hayo nitaweza kukushauri cha kufanya, ila kama ni wa huko basi tumwachie Mungu tu...
 
Habari bintimrembo pole.
Kudhibiti hasira inawezekana ila sio overnight process. Inabidi uwe mvumilivu.

Hata mm pia nina hasira sana. Tena sana.. nadhani ni mbaya sana ukilinganisha na za kwako. Ila hivinsasa nilishafanikiwa kuzidhibiti kwa kujifunza style flan za maisha na kuachana na baadhi ya vitu vilivyonipelekea kukasirika haraka.

Ngoja nikupe mkasa.

Zamani nikingali mdogo kufikia miaka 12 nilikuwa mtoto wa kutisha mno. Nilikuwa na hizi nguvu kiasili na nikikasirika basi ni ugomvi, na ugomvi wenyewe ulikuwa ule wa kupigana na mtu mpaka hawezi hata kunyanyuka chini. Yaani hata mtu kama ananipita umri au nguvu hasira zangu zilikuwa zikinituma nimvizie nimtie adabu mpaka akae ndani mwezi. Believe me, niliogopeka. Watu walisema nilikuwa ni shetani ni my core.
Kwa umri huo sikuwa na rafiki wa umri wangu pamoja na kuwa nilikuwa na akili sana darasani naongoza mpaka narushwa madarasa.
Mpira wa miguu nilikuwa sipati wa kucheza nae maana kama nikishiriki michezo, wiki hiyo watoto wenye POP viungoni watakuwa si chini ya watano. Basi nikawa naishi dunia yangu.

Siku moja Mwalimu fulani mpaka leo jina namkumbuka akaniita akaniambia, huenda siwezi kujiongoza kwa kuwa sijaamua kuzizuia. Akanipa mbinu za kukabiliana na matokeo ya hasira.

I swear tangu siku hiyo sijawahi kumuumiza mtoto wa mtu, wala hata kutukana.

Kama ukiamua pia unaweza
Umeeleza story mingi ambazo hazikua na umuhimu wowote, then ile topic ya Muhimu ambazo ni mbinu alizokupa Mwl umeziacha Makusudi......!

Then huu ndo umeuita mchango kwa huyu Binti...
 
Hello,

Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.

I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.

Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.
Mkuu saivi unakula na kulala kwa wazazi eeh? basi endelea kukaa apoapo usifanye chochote hizo hasira zitaisha zenyewe 2055
 
Umeeleza story mingi ambazo hazikua na umuhimu wowote, then ile topic ya Muhimu ambazo ni mbinu alizokupa Mwl umeziacha Makusudi......!

Then huu ndo umeuita mchango kwa huyu Binti...
Bwana Powder
Sio nia yangu kuleta picha hiyo uliyoijenga. Niwie radhi kama nimekwaza. Ila topic muhimu kwenye reply yangu ilikuwa ni kumjengea picha kuwa, hayuko peke yake. Sio muhanga pekee wa jambo la hasira, na niliazimia kumuelekeza pia,
Tupo pia ambao hasira zilituvunjia makubwa zaidi ya mahusiano. Ni namna tu ya kuanza kumnasihi mtu.

Aidha nilinuia pia kuelezea kila kitu kwenye post moja ila nadhani Tekno yangu haina speed ya kuridhisha.

Asante na niwie radhi Boss
 
Bwana Powder
Sio nia yangu kuleta picha hiyo uliyoijenga. Niwie radhi kama nimekwaza. Ila topic muhimu kwenye reply yangu ilikuwa ni kumjengea picha kuwa, hayuko peke yake. Sio muhanga pekee wa jambo la hasira, na niliazimia kumuelekeza pia,
Tupo pia ambao hasira zilituvunjia makubwa zaidi ya mahusiano. Ni namna tu ya kuanza kumnasihi mtu.

Aidha nilinuia pia kuelezea kila kitu kwenye post moja ila nadhani Tekno yangu haina speed ya kuridhisha.

Asante na niwie radhi Boss
Hakuna shida, umenifanya nijione siko peke tunaohitaj kupona
 
Unamaanisha nisihoj chochote hata kama kibaya
Kuna namna nzuri ya kuhoji jambo lolote, mpaka unaye mhoji hata kama alikuwa hajui anajiona mjinga na hata rudia tena huo udwanzi... au akirudia hata wewe utaamua kumwamcha na hutawaza kurudi tena, kwani mtakuwa mmemua.
 
Siku nyingine unapo mwambia mwanaume neno (TUACHANE) tayari automatically linamuingia akilini na anaanza kuishi nalo kwamba haupo nae pamoja tena, sana anaweza akawa nawe kwa mazowea tu kwasababu wakato huo anakua hama mbadala wako.
Kifupi hili neno aachane nalo kabisa kwenye mahusiano.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom