Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,125
- 190,541
Na huo ulegi hapo kwa fasiii 😅😅😅 unataka kukimbiza bahatiAmini nakwambia mimi ni ng’ongozo kiwango cha mwisho![]()
Na huo ulegi hapo kwa fasiii 😅😅😅 unataka kukimbiza bahatiAmini nakwambia mimi ni ng’ongozo kiwango cha mwisho![]()
29Una umri gani sorry.
Wee jamaa huwa una Maneno mazur Sana sema TU iyo avartar yakoSiku nyingine unapo mwambia mwanaume neno (TUACHANE) tayari automatically linamuingia akilini na anaanza kuishi nalo kwamba haupo nae pamoja tena, sana anaweza akawa nawe kwa mazowea tu kwasababu wakato huo anakua hama mbadala wako.

Sijui tuliwakosea nini kila siku mnatutungia jina jipya. Kweli "ngo'ong'oza" jamaniMbona username yako tayari inatueleza kwa nini huoni shida kumwambia mtu tuachane.....ungekuwa ng'ong'ozo wala usingekuwa na jeuri hiyo![]()




Na huo ulegi hapo kwa fasiiiunataka kukimbiza bahati








em niwache mieSijui tuliwakosea nini kila siku mnatutungia jina jipya. Kweli "ngo'ong'oza" jamani![]()

Kwani sie mnavyotupatiaga maneno ya mwanaume suruali tumewafanyia niniSijui tuliwakosea nini kila siku mnatutungia jina jipya. Kweli "ngo'ong'oza" jamani![]()
Mmetukosea pesaKwani sie mnavyotupatiaga maneno ya mwanaume suruali tumewafanyia nini

Basi sawa ndio hivyo kila jinsia inamkandia mwenzie akiona hana manufaa kwakeMmetukosea pesa![]()
Ndio ng'ong'oza kweli?Basi sawa ndio hivyo kila jinsia inamkandia mwenzie akiona hana manufaa kwake

Eeh sii ata ukilitamkantuu tayari inaashiria kuwa kitu kibaya🤣🤣🤣🤣🤣Ndio ng'ong'oza kweli?![]()
Hizo mbinu bintimrembo anataambiwa amcheki pm.Umeeleza story mingi ambazo hazikua na umuhimu wowote, then ile topic ya Muhimu ambazo ni mbinu alizokupa Mwl umeziacha Makusudi......!
Then huu ndo umeuita mchango kwa huyu Binti...
Mbona username yako tayari inatueleza kwa nini huoni shida kumwambia mtu tuachane.....ungekuwa ng'ong'ozo wala usingekuwa na jeuri hiyo🤣🤣🤣🤣
Ok, pole ni kweli kuachana ktk mahusiano kunaumiza!Hello,
Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.
I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.
Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.
29 matured kabisa unakwama wapi sasa nilijua 20 au 18 huko
Tatizo sijui jinsi ya kubadili avatar mkuu.....Wee jamaa huwa una Maneno mazur Sana sema TU iyo avartar yako
Wengi huwa wanashindwa kukuchukulia Kama uko serious
Sent using Jamii Forums mobile app