Hasira zinaniharibia mahusiano

Hasira zinaniharibia mahusiano

Huwa napenda aman nikiona hatuko vizur huwa nahis nimechokwa zen najikuta nimesema ivi
Siku nyingine unapo mwambia mwanaume neno (TUACHANE) tayari automatically linamuingia akilini na anaanza kuishi nalo kwamba haupo nae pamoja tena, sana anaweza akawa nawe kwa mazowea tu kwasababu wakato huo anakua hama mbadala wako.
 
Kwahyo nifanyaje sasa
 
Hello,

Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.

I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.

Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.
Shida ni hasira hapo, sasa pambana kuacha hasira iende zake ikuachie furaha
 
Hello,

Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.

I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.

Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.
Una umri gani?. Longest relationship yako ni muda gani? What defines you? Are you forgiving person?

Naomba majibu yako either hapa au PM then nitakwambia what i think unatakiwa kufanya.
 
Hello,

Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira.

I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko complex. Mfano sioni shida kumwambia mtu tuachane kisha naanza kuumia mwenyewe. Nikijaribu kurudi nakuta block kubwa yaani kufuli kubwa sana.

Nataman kuwa na mahusiano but hayadumu kwasababu ya hasira. Nisaidieni nipone.
Hahahaha mwanzo wa kujua tatizo ndio mwanzo wa kupata utatuzi!

Kikubwa usi complicate maisha, watu wenye hasira sana ni wale wanaochukulia kila kitu serious. Upe ubongo wako likizo kwa kuacha mambo mengine yaende kama yalivyo. Usitolee macho sana kila ishu😂😂😂
 
Hahahaha mwanzo wa kujua tatizo ndio mwanzo wa kupata utatuzi!

Kikubwa usi complicate maisha, watu wenye hasira sana ni wale wanaochukulia kila kitu serious. Upe ubongo wako likizo kwa kuacha mambo mengine yaende kama yalivyo. Usitolee macho sana kila ishu
Asante sana, umenisaidia nitajitahid
 
Nimejaribu kusoma comment za wadau any way wote wamekushauri vzri ila na mimi nilitaka kujua mqchache toka kwako ili nikushauri

1. Je? Unapo ingia kwenye hayo mahusiano huwa unapata muda wa kuchunguzana ili kufahamiana
Vzri?
Au ndo ile ukipewa ofa ya diner na vinywaji mkisha kwich kwich ndo mahusiiqno tqyari

Jitahidi unapo anza mahusiano jaribu kumweleza mwenzako mambo ambayo huyapendi inawezekana ni kweli una hasira lakini mwenzako anakuwa hajui kama amekuudhi mwishi wasiku akikuudhi mna break up

Mwisho ila siyo lazma jitahidi kujiweka wazi kwa mwenzako aendane na madhaifu yako ili kuepuka mikwaruzno zisizo lazma kwasabu bado namini hakuna aliye mkamilifu sema tuna tofautiana
 
Inawezekana ninachokosea pale napoficha udhaifu wangu kwakuogopa labda atanikimbia
 
Habari bintimrembo pole.
Kudhibiti hasira inawezekana ila sio overnight process. Inabidi uwe mvumilivu.

Hata mm pia nina hasira sana. Tena sana.. nadhani ni mbaya sana ukilinganisha na za kwako. Ila hivinsasa nilishafanikiwa kuzidhibiti kwa kujifunza style flan za maisha na kuachana na baadhi ya vitu vilivyonipelekea kukasirika haraka.

Ngoja nikupe mkasa.

Zamani nikingali mdogo kufikia miaka 12 nilikuwa mtoto wa kutisha mno. Nilikuwa na hizi nguvu kiasili na nikikasirika basi ni ugomvi, na ugomvi wenyewe ulikuwa ule wa kupigana na mtu mpaka hawezi hata kunyanyuka chini. Yaani hata mtu kama ananipita umri au nguvu hasira zangu zilikuwa zikinituma nimvizie nimtie adabu mpaka akae ndani mwezi. Believe me, niliogopeka. Watu walisema nilikuwa ni shetani ni my core.
Kwa umri huo sikuwa na rafiki wa umri wangu pamoja na kuwa nilikuwa na akili sana darasani naongoza mpaka narushwa madarasa.
Mpira wa miguu nilikuwa sipati wa kucheza nae maana kama nikishiriki michezo, wiki hiyo watoto wenye POP viungoni watakuwa si chini ya watano. Basi nikawa naishi dunia yangu.

Siku moja Mwalimu fulani mpaka leo jina namkumbuka akaniita akaniambia, huenda siwezi kujiongoza kwa kuwa sijaamua kuzizuia. Akanipa mbinu za kukabiliana na matokeo ya hasira.

I swear tangu siku hiyo sijawahi kumuumiza mtoto wa mtu, wala hata kutukana.

Kama ukiamua pia unaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom