Hasira zimenipanda nilivyoangalia hii

Hasira zimenipanda nilivyoangalia hii

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,650
Reaction score
16,731
asee wakati sisi tunataabika huyu jamaa na mama wanakula kwa ulaini lool
tangaggiiigggiiis.jpg

Teheheheheh
asa yangu ntaisherekeaje
wakati haliyangu tete sana
umeme umekatika sasa ni balaa
lazma ninune atii
tangu juzi sijaona mwanga wa umeme
pesa mfukoni sina aaaah hasira
tena wewe ndo umenizidishia
kumbe ya kwako laini?

acha kuwa extrimist

hata birthday watu wasisheherekee kwa kuwa wewe una maisha magumu?

mkuu yanawezekana jamaa amekosea lakini hiyo kauli yako ifute ni kauli nzito sana hata kama una hasira na alichosema

Mi wala sijakosea maisha yangu ndi ni magumu sasa
unadhani nina raha
sijasherekea b/d yangu loongtime
pouwa the bio dabo s

Niambie bday yako lini
Nianze kujitayarisha..
Hopefully haijapita ..

We all know that god is there 4 all. Cannot be privatizes. The earth and its contents are 4 us all. We are all equal and must share what is there equally!!!

ahahahaha afrodenzi nimeisahau bana
make kila mara inapita kavukavu
ngoja nkasake diary ya mamy then ntarudi

mie mwenyewe nimemaind kufa m2 yeye anazo anakula hapi,mie m2mish wake ananilipa chn ya laki 3 birthday ntaijulia wapi masikin

Mmmh we acah tu si unacheki kiza kimetawala nji nzima af yeye na wifi wamnakula raha
hapo juu aghhhhhhhh!!!!!!!!!!!!

we flora unathubutu kumuita mamako wifi achaga izo bana ebu muombe radhi uyo first lady bana.

mkuu yanawezekana jamaa amekosea lakini hiyo kauli yako ifute ni kauli nzito sana hata kama una hasira na alichosema

acha kuwa extrimist

hata birthday watu wasisheherekee kwa kuwa wewe una maisha magumu?

Mi wala sijakosea maisha yangu ndi ni magumu sasa
unadhani nina raha
sijasherekea b/d yangu loongtime
pouwa the bio dabo s

mzalendo naomba uangalie vizuri post hapa jukwaani , sio mimi niliyesema una maisha magumu
ila nilikuwa najaribu kukutetea naomba uwe makini na kwa kuwa fair futa hiyo nukuu uliyonijibu kisha nenda kamjibu THE BOSS ok

WILL DO SO KAMA UMEME UTARUDI OTHERWISE UTANISWAMEHE USJALI SANA

Similar Discussions

Back
Top Bottom