Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,792
- 24,767
kusamehe ni weakness
Ndio! Strong men, hawasamehi, wala hawasahau. 😊
kusamehe ni weakness
Naaaaam iko hivyo ila IKUMBUKWE SINA CHUKI HASIRA WALA HASARA NA MTU ILA NITAISHI KWENYE KULIPA KISASI NI SUALA LA MUDA TUU SITOJIVIKA VAZI LA UNAFIKI WALA KUKUMBATIA MZINGA WA NYUKI HUKU NAUMWA NA NYUKI HAOUkweli ni mzuri sana.
mbaya zaidi jamaa anakuharibia mipango na michakato yako alafu yake anataka iende sawiaMsamaha sio rahisi kama unavyo hubiriwa na watu wa dini ama motivational speaker.......... msamaha unahitaji aliyekosewa aone sasa inahitaji niachilie ama nilipe kisasi ama wacha KARMA ichukue mkondo wake,,
Mioyo imeumizwa, kujeruhiwa, kulia kukosa matumaini na hata kupoteza Uaminifu na kuona haina maana ya kuwa na ndugu, familia mahusiano, kazi na marafiki
NB IKUMBUKWE SINA CHUKI HASIRA WALA HASARA NA MTU ILA NITAISHI KWENYE KULIPA KISASI NI SUALA LA MUDA TUU SITOJIVIKA VAZI LA UNAFIKI WALA KUKUMBATIA MZINGA WA NYUKI HUKU NAUMWA NA NYUKI HAO
NIRUDIA NITAISHI KWENYE KULIPA KISASI CHA YALE YALIYOFANYWA NA KUTOKEA NI SUALA LA MUDA TUU
VITA WALIYOANZISHA ITAISHI NA KUENDELEA KUDUMU.........
na kisasi ni hakiNdio! Strong men, hawasamehi, wala hawasahau. 😊
Umeeleweka kakaNaaaaam iko hivyo ila IKUMBUKWE SINA CHUKI HASIRA WALA HASARA NA MTU ILA NITAISHI KWENYE KULIPA KISASI NI SUALA LA MUDA TUU SITOJIVIKA VAZI LA UNAFIKI WALA KUKUMBATIA MZINGA WA NYUKI HUKU NAUMWA NA NYUKI HAO
TARATIBU NDO MWENDO NGOJA NIRUDI KIOTANI KWANGU!!!!!!!!!!!!
nimeandika mimiImeandikwa wapi hii
Eeeh kaka yaaani akifanyiwa baya anaumia nayembaya zaidi jamaa anakuharibia mipango na michakato yako alafu yake anataka iende sawia
Ukilipa kisasi ngoma inakuwa drool, hivyo roho inatulia tuli. Hamdaiani!2pac aliwa sema baada ya sex kinacho fatia kwa utamu ni kulipa kisasi
ila ukweli ukilipa kisasi unapata raha sana.
😂 Ni ngori sana!Kitakukosti 😜
Nimenena kikenya hapo.Sijaelewa eti 😝