Graduate from North Carolina A&T, she is a talented hairstylist and make-up artist. She is involved in community and philanthropy work, you will often see her in Africa in Dar Es Salaam, Tanzania or in the United States involved with many charities
Mbona huyo wa kati kati kafanana na memba mwenzetu humu JF ambaye ni mtoto wa aliyewahi kuwa Waziri mkuu wa hii nchi!!
picha kaweka mwenyewe twitter mbwiga wewe....after all shori mkali sema kembambaaa.....
afu kafanya mazoezi utoe kitambi hicho mtoto wa kiume/jike
Shori Mkali wa HT aiseee jamaa anakula maneno nzuri sana aisee...
New photos of Bee Anderson (girlfriend of Hasheem Thabeet)
Hasheem Thabeet (#34) has a beautiful girlfriend, Bee Anderson (Twitter: loveQueenBee IG: lovequeenbee). As stated on her twitter account, she was a backup dancer for Usher, David Guetta, and The Black Eyed Peas. Here are photos of the beautiful young lady taken from Twitter.com!
usitake nikutuke tusi la kiungo cha uzaziLabda mwenyewe hujijui, lakini ukweli ni kwamba umekuwa ukimfuatilia kwa undani huyu braza kwa muda mrefu sana. Kulikoni?
Una kitu gani kinachokufanya ufuatilie Twitter postings za dume mwenzako kila mara hadi kuishia kuiba picha zake na kuzi-post jukwaani bila idhini yake?
Inaoenekana una hulka za kike wewe! Aibuuuu!!
usitake nikutuke tusi la kiungo cha uzazi
Mbona huyo wa kati kati kafanana na memba mwenzetu humu JF ambaye ni mtoto wa aliyewahi kuwa Waziri mkuu wa hii nchi!!
Huyu mtoto ndo anamkamua jamaa mpaka anashindwa cheza kikapu!