Hasara ninayoipata kwa kutumia mtandao wa tigo

Hasara ninayoipata kwa kutumia mtandao wa tigo

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,519
Reaction score
167,188
1. Credibility, watu wanaonidai na wale wanaohitaji msaada wangu wanaona kuwa nimewazimia simu kukwepa kutimiza wajibu. Ukweli ni kwamba connection hamna, network kwenye screen inaonekana iko full loaded, lakini ukipigiwa simu hupatikani.

2. Gharama, inanibidi niwatatafute wateja wangu kwa kutumia landline, kitu ambacho ni gharama sana kupiga simu kutoka land line kwenda kwenye mobile.

3. Inakasirisha na kupandisha hasira, najikuta nimenuna kama nimepigwa ngumi kumbe ni kero na uzia wa watu wa tigo na limtandao lao.

4. Utapeli, waha watu wa tigo ukiingiza vocha zinaingia vizuri tu, lakini hupati huduma uliyoikusudia.

cha kusikitisha kabisa menejimenti y a tigo imekaa kimyaaaaa, wala haisemi ni lini mtandao utatengemaa, na wala haiombi radhi wateja wake.
Hebu ngoja nihamie zangu SASATEL, nikayaone maisha kwenye mwanga bora
 
Mbona namimi ni mdau wa tigo lakini kinachokupata hakinipati?
achana na simu zako za kichina, be genuine, buy original products
 
Jamani lets nt deny dat we r great thinkers . . . . !
Huyu aloanzisha maada ana point hapa. . . !
Tusitetee ujinga tafadhali,mfano huku dodoma maeneo ya hombolo,ikifika jioni mida ya kumi na mbili,tatizo ni connections hadi sa nne ndo ina tengamaa. . . !
Tigo na manegment yenu embu mtuondolee kero. . . !
My felow tanzanianians,try 2 fyt 4 ur ryts,kwani hyo huduma ya tigo 2naipata bure?Si tunalipia?
Sasa iweje watuzingue na hela wanatukata? ?
Thank u. . . . !
 
The worst comes to the worst ,me and my people comes first
 
Tigo mtandao wa watoto wa shule!kupiga unaka foleni!ukienda hata hapo kenya tuu hupati huduma!mtandao ni AIRTEL popote ndani na nje ya nchi unawasiliana hakuna foleni
 
Mbona namimi ni mdau wa tigo lakini kinachokupata hakinipati?
achana na simu zako za kichina, be genuine, buy original products

Nimekua napata shida sana kwenye huu mtandao-Napiga simu naambiwa Unable to coonnect. Ila natumia simu ya Kichi....
Sio tigo tu. hata air tell mara kibao napata zile massage za missed calls wakati nipo hewani 24hrs.
kama m2 upo Dar bora uhamie kwenye mtandao usio na foleni.
 
Mitandao ya Voda na airtel na yenyewe kimeo, nina line zake.
kilicho baki ni kujaribisha huduma za sasatel
 
Mitandao ya Voda na airtel na yenyewe kimeo, nina line zake.
kilicho baki ni kujaribisha huduma za sasatel

Sasatel haipatikani mikoani, Tigo they have got issues at the moment wanahitaji kurekebisha..... ila mitandao mingi inapokaribia christmas na mwaka mpya huwa ina matatizo
 
mkuu labda unaishi porini au mabondeni viwanja havijapimwa.. lakini tigo mbona poa tu... sipati shida yoyote... angalia nasimu unayotumia, isije ikiwa blackberry la mchina
 
Mshikaji labda wewe hauko DSM,.
Kwa tulio Dsm tigo hainan tofauti na ile maana yake isiyo rasmi
mkuu labda unaishi porini au mabondeni viwanja havijapimwa.. lakini tigo mbona poa tu... sipati shida yoyote... angalia nasimu unayotumia, isije ikiwa blackberry la mchina
 
ila tigo ni noma, naona viongozi na wafanyakazi wa tigo wao wanatumia laini za mitandao mingine, wanatuzuga tu sisi
 
tigo kwa hakika inatuangusha...eneo la kimara hususan 770 ndo usiseme..maana signal ipo very weak. nadhani kuna tatizo linalohitaji ufumbuzi wa haraka kabla wengi hatujajiengua
 
Hapo tatizo sio kwenye connection tu ni mauza uza kibao yanatokea na hii mitandao yetu... Stay tuned nitapost thread niwape kisa cha hii mitandao...
 
Wewe umeliona hilo tu?
Pia nahisi mkopo wao wa 200/= sio halisi. ni kiini macho tu. ule mkopo hauzidi 50/=
maana yake ukiongea kidogo miambili imeisha na meseji kibao, inaboa sana.
mimi sikopi tena. wiiiiiiizziiiiii Mtupu kuda deki... hasira hasira hasira.....
 
Back
Top Bottom